Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

inawezekana mwanamke alimsitili ili kuokoa jahazi la aaibu lisimpate. ila mambo ya wana ndoa ni vyema wayamalize wenyewe
 
Mie ID yako imenikumbusha hii nyimbo ya kid ink tu


 

Ndo ngumu lakn waaungwana...pole yake..bora hata angezingua mmoja ila cyo wote watatu
 
Mwanamke ni kiumbe kibaya Sana

Najaribu kuvaa viatu vya Mwanaume Mwenzangu na havinitoshi (empathy)

How dare are you kumfanyia mtu kitu kama hicho ? Watoto watatu kwamba Jamaa sio mzima Ama

Eti ninyi wanawake Mnasukumwa na Nini hasa mpaka Mnaweza kumfanyia mtu hivyo ??

It's far better ukitombeshe kuliko huo ushetani

Hapo bado huku mtaani watu wanalea visivyo vyao Mamayee
 
Tatizo Ni kuwa hiyo njia alioitumia haijatatua tatizo bado,,ingawa kweli inaumiza

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…