Usichukulie mambo kirahisi. Wewe ukifanya hivyo na wengine waaiga tutakuwa atunawapa hawa wanawake vichwa watageuza huu ni mchezoHuyo jamaa bwege tu . Wala asingempiga.
Kuna mfanyakazi mwenzangu aligundua kuwa watoto wote wawili aliozaa na mkewe sio wake.
Alichofanya alimwambia waachane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni taarifa njema, naamini kuna watu watajifunza kupitia habari hii. Lakini umetumia neno kali sana kwa kumwita binadamu mwenzako Shetani, kwa maana kwenye ndoa za watu kuna mengi. Hebu jiulize maswali haya mawili?Mwanamke mmoja huko Benin amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo
View attachment 1364291
ulipohitaji Vipimo vya DNA kwa watoto wake hao watatu kwa kuhofia kuwa huenda alikuwa akitaka kusafirisha watu wasiokuwa na uhusiano naye kinyume cha sheria (human trafficking). Vipimo vilikuja na majibu kuwa bwana huyo siyo baba halali wa watoto wote watatu hivyo ufanyike
View attachment 1364293
utaratibu mwingine wa kupata Visa na taratibu zingine za kisheria ili aruhusiwe kuingia Canada. Alirudi nyumbani kumhoji mke wake juu ya baba halali wa watoto hao na kwanini amekuwa msaliti kwa kiwango cha hatari kiasi hicho lakini hakupata majibu ya kueleweka Jamaa akaamua amuue
View attachment 1364295
kabisa lakini watu wakawahi kuokoa uhai wa mwadada huyo huku meno manne yakiwa yameng'olewa kwa ngumi nzito nzito alizosukumiwa. Bado taarifa zaidi hazijatolewa kuhusu kukamatwa kwa mwanaume huyo lakini hali ya mwanamke ambaye ni msaliti ndiyo hiyo katika picha.
We ni mnafiki. Mkeo akipigwa piston akakuletea watoto si wako utaleta huu undezi wako?!
Haswaaa!Nafikiri kibongo bongo.... Kuna baadhi ya wanaume Tena wanahisi kabisa mtoto huyu sio wangu Ila wanakauka KIBINGWA.
Si kweli wakurya wanakubali Kitanda hakizai haramu......Huyo mwanamke huku kwetu mara, niwakuchoma moto na takataka zingine za nyumba, hata dampo hafai huyo.
Kukauka kibingwa nacho ni kipaji, hasa kama una uhakika kuwa madogo si wako...Nafikiri kibongo bongo.... Kuna baadhi ya wanaume Tena wanahisi kabisa mtoto huyu sio wangu Ila wanakauka KIBINGWA.
Kazi nzurMwanamke mmoja huko Benin amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo
View attachment 1364291
Ulipohitaji Vipimo vya DNA kwa watoto wake hao watatu kwa kuhofia kuwa huenda alikuwa akitaka kusafirisha watu wasiokuwa na uhusiano naye kinyume cha sheria (human trafficking). Vipimo vilikuja na majibu kuwa bwana huyo siyo baba halali wa watoto wote watatu hivyo ufanyike
View attachment 1364293
Utaratibu mwingine wa kupata Visa na taratibu zingine za kisheria ili aruhusiwe kuingia Canada. Alirudi nyumbani kumhoji mke wake juu ya baba halali wa watoto hao na kwanini amekuwa msaliti kwa kiwango cha hatari kiasi hicho lakini hakupata majibu ya kueleweka Jamaa akaamua amuue
View attachment 1364295
Kabisa lakini watu wakawahi kuokoa uhai wa mwadada huyo huku meno manne yakiwa yameng'olewa kwa ngumi nzito nzito alizosukumiwa. Bado taarifa zaidi hazijatolewa kuhusu kukamatwa kwa mwanaume huyo lakini hali ya mwanamke ambaye ni msaliti ndiyo hiyo katika picha.
Njia nzuri sana hii.Huyo jamaa bwege tu . Wala asingempiga.
Kuna mfanyakazi mwenzangu aligundua kuwa watoto wote wawili aliozaa na mkewe sio wake.
Alichofanya alimwambia waachane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi yana msukumo wa ajabu halafu pia usaliti uliovuka mipaka ni hatari kwa watu wote; mwanamke na mwanamme. Ona sasa huyo dada amebaki na mapengo mapana kama mageti ya kuingilia mlimani city. Pole yake ila ni sehemu ya mavuno ya alichokipanda na kupalilia mwenyewe.
Usichukulie mambo kirahisi. Wewe ukifanya hivyo na wengine waaiga tutakuwa atunawapa hawa wanawake vichwa watageuza huu ni mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tulivyokubaliana kwenye kikao wanaume wenzetu wachoma mkaa watupunguzie bei ya magunia
Halafu kila mwanaume amiliki shamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni taarifa njema, naamini kuna watu watajifunza kupitia habari hii. Lakini umetumia neno kali sana kwa kumwita binadamu mwenzako Shetani, kwa maana kwenye ndoa za watu kuna mengi. Hebu jiulize maswali haya mawili?
1. Ni sababu gani iliyomfanya mwanamke kuzaa nje ya ndoa?
2. Kipi chanzo cha mwanaume kutaka kuihamisha familia yake nchini Canada?
NOTE: Kila Kisa au Jambo linasababu nyuma ya Pazia. Fikisha ujumbe but don't make a judgement.
Njia nzuri sana hii.