Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nafikiri kibongo bongo.... Kuna baadhi ya wanaume Tena wanahisi kabisa mtoto huyu sio wangu Ila wanakauka KIBINGWA.
 
Mwanamke mmoja huko Nigeria amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo
View attachment 1364291

Ulipohitaji Vipimo vya DNA kwa watoto wake hao watatu kwa kuhofia kuwa huenda alikuwa akitaka kusafirisha watu wasiokuwa na uhusiano naye kinyume cha sheria (human trafficking). Vipimo vilikuja na majibu kuwa bwana huyo siyo baba halali wa watoto wote watatu hivyo ufanyike
View attachment 1364293

Utaratibu mwingine wa kupata Visa na taratibu zingine za kisheria ili aruhusiwe kuingia Canada. Alirudi nyumbani kumhoji mke wake juu ya baba halali wa watoto hao na kwanini amekuwa msaliti kwa kiwango cha hatari kiasi hicho lakini hakupata majibu ya kueleweka Jamaa akaamua amuue

View attachment 1364295

Kabisa lakini watu wakawahi kuokoa uhai wa mwadada huyo huku meno manne yakiwa yameng'olewa kwa ngumi nzito nzito alizosukumiwa. Bado taarifa zaidi hazijatolewa kuhusu kukamatwa kwa mwanaume huyo lakini hali ya mwanamke ambaye ni msaliti ndiyo hiyo katika picha.
mbona kaguswa tuu!
 
Kwakosa alilofanya huyo mwanamke mbona hajafanywa chochote?
 
Back
Top Bottom