Mwanaume Muislam safi anahitajika

Alienda akirushiwa maua akarudi akirushiwa vikorokoro vyake πŸ˜„πŸ˜„
 
Tayari umemponza huyo dada
Uta invite mtu msanii utakuja kukumbuka hii comment..
Hapana ameshaishi kwenye ndoa msanii anamjua
Huo Ndo uhalisia hata nisinhesema angejionea.
Hapa kikubwa ni upendo wa Dhati
Na mtu kujua majukumu ya kiume kupenda ndugu heshima Kichwa kiwe kinachaji vizuri
Yaani watachujana tu
Mtu mwongo au Tapeli mbona anajulikana
 
Hajakwama alifiwa tu Ni mjane
Unaelewa wenzetu Hawa wanavyojitunza hata maadili mazuri.
Niombee apate mtu mwema.
Ni Ile Sasa mtu wa vile anaogopwa wakidhani mtu ana mtu
nakuja
 
Mmmh yaani unaonyesha kuwa muhusika kwamba yuko vizuri kiuchumi....
Mtu afate pesa.
Kwani atakayemfuata atakuwa Hana pa kuanzia?
Kweli kwa huyu na mhusika uwe kidogo mambo yako kidogo yawe sawa ili usijisikie mnyongee
 
Niombee apate mtu mwema.
Ni Ile Sasa mtu wa vile anaogopwa wakidhani mtu ana mtu
Ni hivi: mara nyingi kama sio zote mtu hupata mtu wake kwenye mazingira alipo yeye (mtaani, kazini, safarini, kwenye nyumba za ibada, kwenye matukio ya kijamii etc etc)

Ukianza kutafuta kwenye social media ujue tu utapata watu wa kuja kula mzigo na kusepa. Mwambie aanze kutafuta hukohuko kwenye cycle take.

Harafu apunguze hivyo vigezo. Kwani anatoa ajira!? Watu wenye vigezo wana watu wao tayari na labda waje kumfanya mchepuko tu
 

Chance ya Don Nalimison hii...[emoji91][emoji91][emoji91]
 
miaka 40 hawezi kusimamia kucha..! dah! mpetipeti basi ashuke hadi wa miaka 25..πŸ˜‰
 
Haaa haaaa yeye Ndo kataka ili waendane
Si unajua kwenye futari hunoga kufuturu pamoja mliofunga
Mambo Ni Mengi Sana
Lakini Kama Atakosa Anicheck PM
Kuna Vifungu Tunaweza Kuvibadili
HaaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜ƒ
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Miaka imeniangusha!!
Hivi huwezi kupunguza hapo kwenye miaka? Punguza miaka miwili tu, nikamilishe sifa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
We ni bikra?
 
Hajakwama alifiwa tu Ni mjane
Unaelewa wenzetu Hawa wanavyojitunza hata maadili mazuri.
Niombee apate mtu mwema.
Ni Ile Sasa mtu wa vile anaogopwa wakidhani mtu ana mtu
Mkuu
Mbona Unafanya Jambo Liwe Gumu Sana
Aje Sasa Tubadili Katiba, Maana Asingoje Mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…