Mwanaume Muislam safi anahitajika

Naomba niandike kwa uchache kwa kukusaidia wewe na wengine wenye upeo Kama wewe
Mimi nimejiunga JF toka 2013 ..I'm talking about 7 years..
Humu nimetengeneza marafiki na wafanyabiashara wazuri
Tumekuwa Kama ndugu
Kuhusu mahusiano Ni ninayoyajua na Ni mazuri na ndoa.
Kama wewe na Wenzio mnakutana na watu wabaya Mimi nitawaombea tu ili mkutane na watu wema.
Halafu Kama huamini Love connect huwa unapafungua ili ugundue nini??
Na unadhani wewe Ni mtu mbaya? Au unachezeaga wanawake jibu unalo.
Kwa hiyo naomba Sana wewe na wengine muondoe hiyo negative deadly mentality.
 
Akitulize kwa maji moto alee wanae. Kama ana maadili na imani apige sala apate mume mwema. Hadi kudalaliwa hivi ni dalili ya u desperate.
Nadhani ungepita kimya ingependeza
 
miaka 40 hawezi kusimamia kucha..! dah! mpetipeti basi ashuke hadi wa miaka 25..😉
Tena anapenda ambao tayari walishakuwa na familia pengine kwa bhy mbaya kuachana au kufiwa
Vijana wa hapo kweli watampasua Kichwa bure.
Ni too much headache
Anataka mtu mzima
 
Mambo Ni Mengi Sana
Lakini Kama Atakosa Anicheck PM
Kuna Vifungu Tunaweza Kuvibadili
Haa[emoji16][emoji23][emoji3][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2]
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Wewe Ni Islam?
 
Nitaongea naye kesho vizuri
 
Yaan adi amechanganyikiwa hajui aanze na yupi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
True but weekend hii ndo atasort out the best man
Just remember it will be like the winner takes it all.
 
Mbona anataka Wazee tu kuanzia 40? Chini ya 40 hachukui?
 
"Miaka kuanzia 40 na kuendelea

Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara

Makazi awe anaishi Dar.

Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa"

Hizi ni sifa za mume wa mtu. Yaani wenye sifa hizi tayari Wana familia zao
Hapo kwenye Talaka umepaelewa?. Na aliomba hivyo kwa kuwakwa umri umesogea awe na mtu mzima.wenye mitihani Kama yake maishani Wapo
Sasa na kwa kuwa wanakuja Basi atawachanganua kwa uzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…