Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

mkuu, nondo zako ni za kweli zaidi ya 80%. actually mwanamke akishajua code zako zote basi unakuwa huna jipya tena kwake....kuhusu hela ni umepatia mno kaka. uishi sana
 
Ndo hapo sasa au mwengine anachepuka na house girl. Mimi nawashangaaga wanaosema mwanamke hajui akitakacho.

Mindset zao hazipo sawa,, inabidi wabadili hiyo mitazamo Yao.
Halafu anamsingizia mkewe, utazani mkewe ndiye huwa anamshikia anapotembea
 
Yaani pamoja na mipango mizuri, mikakati na mafunzo mnayopeana kuhusu wanawake lakini bado watu wanapigwa na vitu vizito hivi kwa nini lakini?
 
Yaani pamoja na mipango mizuri, mikakati na mafunzo mnayopeana kuhusu wanawake lakini bado watu wanapigwa na vitu vizito hivi kwa nini lakini?
Kama hawataki kuufanyia kazi ushauri wanao pewa waache wapigwe tu
 
Hyo number niliweza kwa ex wangu,

Hyo number moja ndio nime apply kwa mama mtoto
 
Code zimesimama, ila sasa hizi code hazizuii demu kuliwa nje, ndo ubaya wa hawa viumbe

Mtu akija kunipa mbinu ya kumfanya demu abaki njia kuu tuu asitoke nje kwa 100% . Ntaizingatia, ila hizi zingine naona tunarudi kule kule tuu....ATALIWA TUU
vp yamekukuta mkuu
 
Kwaiyo 80 ni hela kubwa sana kumpa mwanamke Kwa ajil ya urembo apendeze wengine wakiwahudumia mnawaona wanapendeza mate yanawajaa

Wanaume tafuten hela achen visingizio kama huwez hudumia mke wako achen kuja huku kulia mpate huruma za wengine
Wewe unamhudumia mmewo hata shilingi kumi kweli. Yaani unao mchango Gani kwake ama faida unayompatia mbali na kikojoleo , uzuri wa mwanamke umezaliwa nao na sio hayo makorokoro yako unayoweka unadhani kuwa ndiyo yatoayo mate watu.
Wewe Kama huna shape huna hata ujivike urembo wa dunia nzima.
Kama unalo umbo zuri hata Kama ni kichaa anavutia machoni. Unadhani uvaaji wako,kujiremba kwako ndiko unafanya mwanaume anatoa mate, mwanaume anatoa mate kwa vile tu ulivyoumbwa na Mungu akakupa mwili Gani, na Mungu akamuwekea tamaa mwanaume ili avutiwe na wewe ulivyoumbwa,

Sasa kwenye kuumbwa wewe hujatumia gharama yoyote ama ulimlipa Mungu ili akuumbe akaakupe shape
 
tu tafute hela? we hujui kutafuta hela? mbali na uchi mwanamke ana nini cha ziada? nidhamu ya pesa ndo msingi kwa mwanaume yeyote yule
Wanatumia kauli ya wanaume tafuteni pesa ni mandezi. Hizo kauli ni za miaka ya 60 huko kipindi mama zetu hawana fursa kama za Leo. Leo wote tu nasoma mpaka chuo kikuu... Tunaajiriwa na kujiajiri... Mfumo unawabeba wanawake.. Kama ni rahisi kuzitafuta si wazitafute wao badala ya kulilia za wanaume? Hapo kinasema 80k ni ndogo ukute halina hata ten kwenye account.
 
Code zimesimama, ila sasa hizi code hazizuii demu kuliwa nje, ndo ubaya wa hawa viumbe

Mtu akija kunipa mbinu ya kumfanya demu abaki njia kuu tuu asitoke nje kwa 100% . Ntaizingatia, ila hizi zingine naona tunarudi kule kule tuu....ATALIWA TUU
Labda umroge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…