Mwanaume mwenye uwezo wa kutunza mke wa ziada na familia ni baraka kwenye jamii; kumzuia ni jambo la kishetani

Mwanaume mwenye uwezo wa kutunza mke wa ziada na familia ni baraka kwenye jamii; kumzuia ni jambo la kishetani

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Siwazungumzii wale wanaoongeza mke na kutelekeza familia za mwanzo, kundi hili kuna mstari mwembamba unaowatofautisha na wazinzi wanaoingia kwenye ndoa kwa tamaa za kimwili.

Kataa kubali uhalisia ni kwamba Mwanaume ndie provider kwa wanawake, ndie kichwa cha familia, Ndio maana mwanaume ndie anaeoa, nchi nyingine familia za binti zinampelekea mahari mwanaume kumuomba awaolee binti yao.

Mwanaume kuoa huwa kunampa zaidi heshima mwanamke kuzidi mwanaume, Hizi ni faida anazopata mwanamke

  • Mwanaume humpa heshima kwenye jamii, ni Mrs flani
  • mwanamke hupata heshima zaidi akiwa na watoto akiwa kwenye ndoa
  • Watoto wa mwanamke (hata kama sio wa mme) wanapata baba anaetambulika kwenye ndoa
  • Kipato cha mwanaume ndicho hutumika kwa kiasi kikubwa au chote kuihudumia mke na watoto
  • Mwanamke anapata ulinzi
  • Mwanaume atahudumia ndugu wa mwanamke, ni ngumu kuwa vice versa

Inapotokea mwanaume awnaweza kuongeza mke na familia kwa nia njema hakuna sababu ya kumkataza, anaenda kumheshimisha mwanamke kwenye jamii, anajitolea kumtunza pamoja na watoto, anapunguza tatizo la single mothers, n.k.
 
Back
Top Bottom