Mwanaume mwenye wake 15 asema Wanaume wenye Mke Mmoja wana Akili Ndogo Sana: "Wanaweza Kuongelea jambo moja kwa saa 3”

Mwanaume mwenye wake 15 asema Wanaume wenye Mke Mmoja wana Akili Ndogo Sana: "Wanaweza Kuongelea jambo moja kwa saa 3”

Yuko sahihi Kabisa.
Mwanaume mwenye wake wengi anaakili kubwavya mahusiano kuliko mwenye MKE mmoja. Zingatia neno Akili kubwa ya mahusiano.

Ni Sawa na Tajiri anaakili nyingi za Pesa na uchumi kuliko Maskini.

Hivyo yupo Sahihi.
 
Back
Top Bottom