Mwanaume mwenye wivu unaishi naye vipi?

Kumuheshimu namuheshimu sana tu labda niwe namsukiliza zaidi na zaidi lakini wivu wake umepindukia
 
mm hili sikubaliani nalo mkuu hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya wivu na mtu kukupenda sana,mtu akikupenda anakupenda the way ulivyo haijalishi kakufumania mara ngapi na yuko tayari kuishi na ww kwa mapungufu uliyonayo

hawa wenye wivu sana uwa wanatafuta tu sababu za kuachana kwan na wao uwa wanaweza kuwa na makosa mengi iwe ni direct or indirect

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Una akili nyingi boss asant kwa kumjibu uyo
 
Njoo basi nikuwowe maana hizo lips hatari
 
Wivu ni ishara ya upendo na kujali. Usitake kumbadilisha utakuja juta.
hapana wivu sio upendo ni hali ya kutokujiamin upendo ni kindly while wivu ni hashly na insecurity

ni sawa na mtu akipatwa na tatizo,wengine huchukua hatua ya kuongea kila mahali akihisi atapata msaada na mwingine anapambana nayo kimya kimya akiamini atapata suluhu siku moja, na wengi mtakubaliana na mm kwamba sio kila tatizo ni la kuongea kila mahali, uenda angetuliza akili yake angepata suluhu which is kindly

tutafute pesa ndugu zangu haya mambo ya kua na wivu kupitiliza yanakukosesha fursa

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wivu wa aina mbili

Wa kwanza ni wa asili

Wa pili ni akikupima anaona kbs unat*mbeka vzr tu ukipata mjanja mwingine yaani anakuona una shobo shobo nyingi kitu ambacho wanaume wengi hawapendi...

Tiba

Mwenye wivu wa asili yakupasa kumshirikisha A-Z steps zako hii itampunguzia doubts.Baada ya mda atapunguza automatic.

Wa pili huyo,dawa ni upunguze shobo uache kuwa na mapepe mengi Au ACHANA NAE km huwezi badilika.
 
ni ngumu na ni ngumu kumeza mzee baba


Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Umesha zaa nae watoto wangapi?
Maana wengine wivu unakuwepo pale watoto wasiozaliwa wakizaliwa tuu wivu unaisha
 
Umetisha...
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mie sijambo kabisaa....

Mie wee nakuaminia, mahali popote unapokua sina shaka, japokua umzuri wa umbo na sura ,na wanakunyatia .
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Asante.
Lakini hakuna mtu anaeninyatia ujue๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Umebanwa mno we nae nilikuwa nataka nikutoe autingi
 
najaribu kujibu hiyo ๐Ÿ‘†

mpe papuchi bila masharti.
Usimuombe pesa(aka mizinga)simu isiharibike ghafla,nywele zisifumuke ghafla,usidaiwe kid ya nyumba ghafla..na mengine yafananayo na hayo.

Inasemekana lakini
Umejuaje kuwa hawaishi wote?
 
Siku moja nlikua naongea na simu isiku afu yeye akapiga kama mara mbili hivi bado nlikua natumika alikasirika sana yani sanaa ila nilikua naongea na rafiki ang๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ
Unaikata ya rafiki yako kwanza unamtuliza mmeo kisha unarejea kwa rafiki yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ