Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
- Thread starter
- #81
Kumuheshimu namuheshimu sana tu labda niwe namsukiliza zaidi na zaidi lakini wivu wake umepindukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm hili sikubaliani nalo mkuu hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya wivu na mtu kukupenda sana,mtu akikupenda anakupenda the way ulivyo haijalishi kakufumania mara ngapi na yuko tayari kuishi na ww kwa mapungufu uliyonayoMada yako ni kituko!Unaelewa kuwa kupenda sana ndiyo huzaa wivu?Sasa unataka upewe mbinu za mwanaume wako kukupenda sana wakati tayari kuna tatizo la wivu linaleta shida ambalo hutokana na kupendwa sana?
Kuna uhusiano kati ya upendo na wivu ambao ni huu hapa:Upendo ni direct proportional na wivu,yaani jinsi upendo utakavyoongezeka ndivyo wivu nao utakuwa unaongezeka.Maana yake kitaalam ukitaka kudhibiti wivu basi zuia usipendwe lakini kama utataka kupendwa zaidi basi tegemea wivu nao utakuwa mkubwa zaidi.Kwa kifupi katika mapenzi kitu kikubwa ambacho huleta wivu ni pale mtu anapopenda sana.
Una akili nyingi boss asant kwa kumjibu uyomm hili sikubaliani nalo mkuu hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya wivu na mtu kukupenda sana,mtu akikupenda anakupenda the way ulivyo haijalishi kakufumania mara ngapi na yuko tayari kuishi na ww kwa mapungufu uliyonayo
hawa wenye wivu sana uwa wanatafuta tu sababu za kuachana kwan na wao uwa wanaweza kuwa na makosa mengi iwe ni direct or indirect
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Mie sijambo kabisaa....Naona umejibu kitu kimoja..haya malizia na hayo mawili hapo kwanza
Wivu ni ishara ya upendo na kujali. Usitake kumbadilisha utakuja juta.Habari.
Uzi huo unajieleza nipendi mbinu za kuishi na mwanaume mwenye wivu na pia ni jinsi gani utamfanyia mwanaume wako ili azidi kukupenda?
Njoo basi nikuwowe maana hizo lips hatariMwanaume ni lazima aheshimiwe aise hiyo haipingiki.
Sasa huyu mleta mada anataka yeye mwanamke ndo ampende mwanaume we ulisikia wapi.
Mwanamke ukimtii mume wako ni lazima akupende haijawahi kuepukika.
Hayo mengine Yanayotokea ni katika hali ya binadamu na hayaepukiki
hapana wivu sio upendo ni hali ya kutokujiamin upendo ni kindly while wivu ni hashly na insecurityWivu ni ishara ya upendo na kujali. Usitake kumbadilisha utakuja juta.
ni ngumu na ni ngumu kumeza mzee babaKuna wivu wa aina mbili
Wa kwanza ni wa asili
Wa pili ni akikupima anaona kbs unat*mbeka vzr tu ukipata mjanja mwingine yaani anakuona una shobo shobo nyingi kitu ambacho wanaume wengi hawapendi...
Tiba
Mwenye wivu wa asili yakupasa kumshirikisha A-Z steps zako hii itampunguzia doubts.Baada ya mda atapunguza automatic.
Wa pili huyo,dawa ni upunguze shobo uache kuwa na mapepe mengi Au ACHANA NAE km huwezi badilika.
Umetisha...Huo wivu ,umefikia hatua gan??
Kundi A..
1-Anashika simu yako ila haongei zaidi ya kujikoosha kama Mtanzania aliyekua anajisaidia chooo che pazia tu kisha akasikia mtu anakuja choon!!
2--Kila mara anashika simu yako na anakuuliza maswali ,mara hii namba yanan?? Mbona imekupigia sanaa??nani amekuambia Mambo???
3--Anashika, anakuuliza na anakupa kipondo kama mbwa koko ???
Kundi B
1--Ana kupa muda wa kutoka na Kurudi nyumban
2--Unatoka kwaajili ya kazi ila kila muda anakupigia simu na video
3--Unatoka ila ole wako akukite umesimama njian na Jamaa
4---Hutoki kabisaa yaan nakazi kakuachisha
5--Hutoki yaan hata kwa mashost huendi, hata kwa ndugu huendi. Yaaan hadi kwa wazazi wako kapiga pini.
Suluhisho
1--Kama anadalili moja ya kundi A na hana hata moja ya kundi B au anayo Moja .,.,.... Ongea naye kiutu uzima.
2--Kama anazo mbili za Kundi A na moja ya kundi B..... Anza kua makini
3--kama anazaidi ya mbili za kundi A nambili za kundi B....... Anza harakati za kuachana na huyo Mbwa , Nikwamba yeye anagonga wa wengine. Ila hataki kugongewa, kwa mantiki iyo kuna siku MTAJIPA KESI.
😅😅😅Asante.Mie sijambo kabisaa....
Mie wee nakuaminia, mahali popote unapokua sina shaka, japokua umzuri wa umbo na sura ,na wanakunyatia .
Haki nakuja uniwowe siwezagi kupishana na fursa mimiNjoo basi nikuwowe maana hizo lips hatari
mambo ya auting tena., hatujachelewa [emoji8][emoji28][emoji28][emoji28]Asante.
Lakini hakuna mtu anaeninyatia ujue[emoji28][emoji28]
Umebanwa mno we nae nilikuwa nataka nikutoe autingi
Yaaa..nakuja sasa hivimambo ya auting tena., hatujachelewa [emoji8]
Umejuaje kuwa hawaishi wote?najaribu kujibu hiyo 👆
mpe papuchi bila masharti.
Usimuombe pesa(aka mizinga)simu isiharibike ghafla,nywele zisifumuke ghafla,usidaiwe kid ya nyumba ghafla..na mengine yafananayo na hayo.
Inasemekana lakini
Unaikata ya rafiki yako kwanza unamtuliza mmeo kisha unarejea kwa rafiki yakoSiku moja nlikua naongea na simu isiku afu yeye akapiga kama mara mbili hivi bado nlikua natumika alikasirika sana yani sanaa ila nilikua naongea na rafiki ang😩😩😩