Mwanaume mwenzangu fanya hili zoezi kila siku asubuhi na jioni

Mwanaume mwenzangu fanya hili zoezi kila siku asubuhi na jioni

Acha nile zangu bia tu😂
20250726_104812.jpg
 
Kuna video niliona online wanawake wakifanya haya mazoezi wakiimarisha pelvic floor muscles ni sort of kegel

Kwa mwanaume anaimarisha nini? Palvic floor muscles pia au kupinguza kitambi
 
Back
Top Bottom