Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 9,497
- 26,062
Nina kitambi kikubwa sana weka zoezi la kukata kitambi three months.Mashine kuwa on fire 🔥
Nina kitambi kikubwa sana weka zoezi la kukata kitambi three months.Mashine kuwa on fire 🔥
Na papuchi sio mchezo bwasheeIla papuchi zinafanya watu kuwa vichaa kweli kweli
Fanya kila siku mkuu utanishukuru, alafu punguza kula vyakula vyenye mafuta mengi.Nina kitambi kikubwa sana weka zoezi la kukata kitambi three months.
Mkuu ni mazoezi wewe huwa unafanya?Tuvijana twa siku hizi tuna mikakati madhubuti kwenye mambo ya ngono ila kwenye maendeleo akha .
Nitapumzika jamiiforums nahisi wajukuu zangu wamekuwa wengu mno
Chagua kimoja unataka uno au helaPiga tu viuno ila hela ni muhimu....
Mkuu ni mazoezi wewe huwa unafanya?
Niyafanye nikayatumie watu mjukuu wangu?Mkuu ni mazoezi wewe huwa unafanya?
Hela Kipenzi Changu uno tutatumia languChagua kimoja unataka uno au hela