Mwanaume mwenzangu fanya hili zoezi kila siku asubuhi na jioni

Nina kitambi kikubwa sana weka zoezi la kukata kitambi three months.
Fanya kila siku mkuu utanishukuru, alafu punguza kula vyakula vyenye mafuta mengi.

Your browser is not able to display this video.
 
Tuvijana twa siku hizi tuna mikakati madhubuti kwenye mambo ya ngono ila kwenye maendeleo akha .

Nitapumzika jamiiforums nahisi wajukuu zangu wamekuwa wengu mno
 
Yaonekana mambo ya bustani, kufagia, kupalilia, kufyeka na kuchonga fence ya michongoma au miboga mvule haina wapenzi tena kwa wanaume?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…