Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,185
Reaction score
37,239
Kumekucha wana Baraza.......

Hili halihitaji maelezo mengi kwani limekuwa tatizo sugu kwenye vyumba vya wanandoa mpaka baadhi ya wanaume (mabwege) wameanza kuona ni jambo la kawaida......

Ngoja niongee KIUME......
Kunyimwa uchi na mkeo sio jambo la kawaida.....tendo la ndoa ni nguzo kuu inayoleta maana nzima ya ndoa...... kitendo cha mwenza wako kukunyima tendo hilo nje ya dharula za kibinadamu ni alama za kuwa hiyo haitaki ndoa........

Ni kama vile mfanyakazi akatae kufanya kazi mliyokubaliana na boss wake ni ishara huyo haitaki kazi na anatakiwa kufukuzwa kazi.......

Mwanaume mwenzangu Acha unyonge kwa mkeo huyo ni mali yako , ni bustani yako ni halali yako........

Kama hataki kukupa kilichomleta kwako chukua maamuzi ya kiume.......

NB;
Hii inawagusa wanaume wenzangu marijali ambao utendaji wao wa kazi hauna mushkeli isipokuwa wanaangushwa na upande wa pili.....
 
Sex in Marriage is earned Bro, nje ya hapo ni kubakana, sio rahisi Kuwa mwanaume, ni position ambao unatakiwa Kuwa na busara sana!
 
Kukataliwa unyumba kuna mambo mawili.
1. Haumjali mwenzako kwenye tendo la ndoa unajijali mwenyewe. Namaanisha nini? Twende pamoja.
Kwenye ndoa watu wanaishi kwa mazoea saana yaani inafika stage mme anamuona mke wake kama msaidizi tu wa familia ikifika usiku anapanda anapiga kimoja cha fasta chali kwa kuwa mme kakojoa anajifunika shuka analala bila kujali kuwa mkewe amemuacha na nyege sasa hii hukera baadhi ya wanawake na ndio maana hata inafika muda nae anaona bora alale tu ngoma iwe droo.
2. Lakini jambo la pili mkeo akikunyima unyumba fatilia nyendo zakd istoshe keshapata dogodogo au mpango wa kando anampiga pum*u akirud home hoi. Hvyo fuatilia.

LAKINI NARUDIA TENA chonde chonde wewe mwanamme uliyeoa mjulie mkeo angalau kwa wiki mkojoze hata mara tatu hakika hawezi kukunyima unyumba ila kama ukipanda ni kama kuku alaaah utanyimwa saana
 
Na kwa thread kama hizi ndio team kataa ndoa wanaondoka na point tatu muhimu tena za ugenini😀😀😀😀
1002300334.jpg
 
Back
Top Bottom