Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

Sasa kama ana kisirani ukimpa si ndiyo unampunguza kisirani.

Wewe mtu ana kisirani unamnyima mbunye, si ndiyo unamuongezea kisirani hapo?
Kupeana siku zote ni maelewano sasa kama mtu analeta kisirani nunu inajifunga hata sindano haipiti atapewaje 🤣
 
Kupeana siku zote ni maelewano sasa kama mtu analeta kisirani nunu inajifunga hata sindano haipiti atapewaje 🤣
Huyo atasaidiwa na mchepuko tu, maana mtu akishindwa kazi ni uungwana asaidiwe tu.

Na kama vipi mchepuko unapandishwa cheo.

Kwanini kupimiana vitu ambavyo ukitumia haviishi?
 
Back
Top Bottom