Mwanaume mzima kumkuta akiwa Serious na Katulia kabisa anasikiliza Simulizi za Veronica Frank wa EFM Radio ni Aibu mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa Prince Charles au Kuuza Ngada ( Unga ) au Kulima Puje ( Bangi ) ila siyo Kujikunyata kabisa kila Siku za Jumatatu hadi Ijumaa Jioni kusikiliza Simulizi za Uwongo na Kweli ( za Kutunga ) za Mtangazaji Veronica Frank wa EFM Radio.

Huku waachiwe zaidi Wanawake ( akina Mama ) na Mabinti tu kwani ndiko Kwao kutokana na Jinsia zao na Emotions zao. Wanaume mnaosikiliza Simulizi za Veronica Frank na EFM Radio yake kiukweli mnaanza kunifanya GENTAMYCINE nianze kuwa na Wasiwasi na Uanamume wenu na baadae nitashindwa hata kuwatofautisheni na Dada zangu.
 
Mashoga pia wanasema hivyo, wanagegedana wao kwa wao hawaingilii wengine
Sijui kwanini umeamua kutolea mfano eneo hilo, ila fikili familia, inafurahia kupata mtoto wa kiume, Baba anamtayarisha kujitegemea kama mwanamme. anampangia mipango ya kuishi kama mtoto wa kiume, alafu mtoto wako anahudumia wanaume wenzie, kama mwanamke.

Ndugu wa huyu shoga itakua hawajaathiliwa, hata hivyo hujawahi sikia habari, za mashoga kutongoza wanaume.
 
Tupo hapa tuna sikiliza DW jinsi pandikizi la kagame limekamatwa...

Hili pandikizi lilikuwa karibu mna na tshisekedi, maana ndiye alikuwa masaidizi/mshauri wa rais, kumbe ni pandikizi kutoka kigali...

Wamelikamata na kulisweka lokapu huko kwenye ulinzi mkali mno

Mamlaka mbalimbali za kidunia/kimataifa ziliandika juu ya hili pandikizi kuwa na mahusiano ya bila shaka na serikali ya kigali

Na alikuwa ana ushawishi mkubwa wa kutaka Kinshasa iendeleze mahusiano mazuri na kigali na kuondoa sintofahamu inayo endelea

Wakam’bamba... imekula kwake...
 
Mie nilikuwa napenda sana kusikiliza zile story za Veronica Frank ila baada ya muda nikaanza kuzishtukia kuwa ni za kutunga na hazina uhalisia nikaamua kukikacha kile kipindi mazima...
Hicho ndicho kilichopo, story za kutunga ukiamua kusikiliza jua unasikiliza hadithi, au kama unatizama filamu, yaliyomo hayana uhalisia.

Haya mambo zamani tulikua tunasoma vitabuni, sasa yako kwa njia hii radio na mitandao mingine.
Sisi wazee wa umri wetu tunawakumbuka akina, Abunu Wasi, Alan Kotterman, Umsolopa Gaz, Sindy Bady baharia, kikomo Sanda ya Jambazi ni vyenzie.
 
Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa Prince Charles au Kuuza Ngada ( Unga ) au Kulima Puje ( Bangi ) ila siyo Kujikunyata kabisa kila Siku za Jumatatu hadi Ijumaa Jioni kusikiliza Simulizi za Uwongo na Kweli ( za Kutunga ) za Mtangazaji Veronica Frank wa EFM Radio.

Huku waachiwe zaidi Wanawake ( akina Mama ) na Mabinti tu kwani ndiko Kwao kutokana na Jinsia zao na Emotions zao. Wanaume mnaosikiliza Simulizi za Veronica Frank na EFM Radio yake kiukweli mnaanza kunifanya GENTAMYCINE nianze kuwa na Wasiwasi na Uanamume wenu na baadae nitashindwa hata kuwatofautisheni na Dada zangu.

Yaani ukiwakuta walivyokaa kwa kutulia wakisikiliza utadhani waliambiwa baada ya hapo watapewa mtihani😂😂😂
 
Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa Prince Charles au Kuuza Ngada ( Unga ) au Kulima Puje ( Bangi ) ila siyo Kujikunyata kabisa kila Siku za Jumatatu hadi Ijumaa Jioni kusikiliza Simulizi za Uwongo na Kweli ( za Kutunga ) za Mtangazaji Veronica Frank wa EFM Radio.

Huku waachiwe zaidi Wanawake ( akina Mama ) na Mabinti tu kwani ndiko Kwao kutokana na Jinsia zao na Emotions zao. Wanaume mnaosikiliza Simulizi za Veronica Frank na EFM Radio yake kiukweli mnaanza kunifanya GENTAMYCINE nianze kuwa na Wasiwasi na Uanamume wenu na baadae nitashindwa hata kuwatofautisheni na Dada zangu.
Wewe umejuaje kama kuna hizo simulizi kama huwa husikilizi
 
Back
Top Bottom