GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa Prince Charles au Kuuza Ngada ( Unga ) au Kulima Puje ( Bangi ) ila siyo Kujikunyata kabisa kila Siku za Jumatatu hadi Ijumaa Jioni kusikiliza Simulizi za Uwongo na Kweli ( za Kutunga ) za Mtangazaji Veronica Frank wa EFM Radio.
Huku waachiwe zaidi Wanawake ( akina Mama ) na Mabinti tu kwani ndiko Kwao kutokana na Jinsia zao na Emotions zao. Wanaume mnaosikiliza Simulizi za Veronica Frank na EFM Radio yake kiukweli mnaanza kunifanya GENTAMYCINE nianze kuwa na Wasiwasi na Uanamume wenu na baadae nitashindwa hata kuwatofautisheni na Dada zangu.