AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Wanaume wenzangu.
Siri ya mafanikio ya kuitunza ndoa yako ni ule UANAUME uliopo ndani yako. Wanawake huwa wanapenda mwanaume ambaye ni MWANAUME kweli kweli ndani mpaka nje.
Kuna wakati anaweza kukuomba idhini ya jambo ili kukupima tu je utamkubalia au kumkatalia. Kumkatalia mwanamke kwenye jambo ambalo ni risk kwa usalama wake wa maisha yake na ndoa yake ina tafsiri ya kwamba UNAJALI...vilevile kwenye jambo lenye manufaa VISE VERSA IS TRUE.
Lakini mwanaume ukiwa kila kitu YES...hata una mapungufu ya kimaumbile...but NEVER LET HER Kutumia mapungufu uliyo nayo kama fimbo ya kukuonea. Mwanamke anapenda mwansume anayekoroma. Mwanamke anapenda mwanaume anayejiamini hata kama ana weaknesa fulani...
USIONE SIFA NZURI KUWA WEWE UNASEMWA NA MKEO KUWA NI "MWANAUME MUELEWA".
Wako wanawake waovu wanapenda wasisumbuliwe wala kuhojiwa na wanaume zao kuhusu maovu yao...sasa ukiwafuata hawa ndio utaitwa MWANAUME MUELEWA. MWANAUME NI KICHWA...MWANAUME NI KIONGOZI NA DIRA YA FAMILIA...
UKIONA MAMA, AU WATOTO WAMEHARIKIWA KITABIA NA MWENENDO...JUA CHANZO NI MWANAUME MWENYEWE. WANAUME TUNAKIMBIA WAJIBU WETU, ETY TWATAKA TUSAIDIANE NA MWANAMKE KUTAFUTA...AJAABU HII...JANAUME LAONGEA KABISA MBELE ZA WATU BILA AIBU "ETY MAISHA KUSAIDIANA BWANA SIKUHIZI"
MWANAMKE NI KAMA BENDERA TU INAFUATA JINSI NA MAHALI UPEPO WAELEKEA. MWANAMKE NI DANCERS TU WANAFUATA JINSI NGOMA INAPIGWA.
UKIONA MWANAMKE AWE BINT MDOGO AU MAMA MTU MZIMA HANA MWENENDO MZURI WA MAISHA YAKE...ANGALIA BABA AU KAKA AU MUMEWE YUPOJE...CHANZO KIPO HUKO...
WANAUME NI CHANZO CHA KUHARIBIKA NDOA ZETU...