AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Mkuu una uzoefu wa muda gani kwenye ndoa?
Hayo maisha yenu ndo yanaharibu maisha yetu...Rekebisha maisha yako na familia yako for the welbeing of the society...Ishi maisha yako...tuachie maisha yetu..!
Muda mrefu sana...takribani 40...nimeona mengi...Mkuu una uzoefu wa muda gani kwenye ndoa?
Kila mtu anaishi vile anataka bro..na hauwezi mpangia.Hayo maisha yenu ndo yanaharibu maisha yetu...Rekebisha maisha yako na familia yako for the welbeing of the society...
Muda mrefu sana...takribani 40...nimeona mengi...
Nyie ndio mnaotuharibia jamii...kutokana na maingizo mabaya yanayotokana na usimamizi wenu mbovu kama wanaume...Kila mtu anaishi vile anataka bro..na hauwezi mpangia.
Mfano wa wanaume waelewa ni hao hapo juu...eti mwanaume wajitetea kla mtu aishi atakavyo...Umepandisha na kushusha sauti kutia mkazo
Nimeipenda sana tafsiri yako ya "MWANAUME MUELEWA"
Hakuna ambae kakupangia namna ya kuishi mzee.Kila mtu anaishi vile anataka bro..na hauwezi mpangia.
Mkuu ni sahihi ulichosema.Wanaume wenzangu.
Siri ya mafanikio ya kuitunza ndoa yako ni ule UANAUME uliopo ndani yako. Wanawake huwa wanapenda mwanaume ambaye ni MWANAUME kweli kweli ndani mpaka nje.
Kuna wakati anaweza kukuomba idhini ya jambo ili kukupima tu je utamkubalia au kumkatalia. Kumkatalia mwanamke kwenye jambo ambalo ni risk kwa usalama wake wa maisha yake na ndoa yake ina tafsiri ya kwamba UNAJALI...vilevile kwenye jambo lenye manufaa VISE VERSA IS TRUE.
Lakini mwanaume ukiwa kila kitu YES...hata una mapungufu ya kimaumbile...but NEVER LET HER Kutumia mapungufu uliyo nayo kama fimbo ya kukuonea. Mwanamke anapenda mwansume anayekoroma. Mwanamke anapenda mwanaume anayejiamini hata kama ana weaknesa fulani...
USIONE SIFA NZURI KUWA WEWE UNASEMWA NA MKEO KUWA NI "MWANAUME MUELEWA".
Wako wanawake waovu wanapenda wasisumbuliwe wala kuhojiwa na wanaume zao kuhusu maovu yao...sasa ukiwafuata hawa ndio utaitwa MWANAUME MUELEWA. MWANAUME NI KICHWA...MWANAUME NI KIONGOZI NA DIRA YA FAMILIA...
UKIONA MAMA, AU WATOTO WAMEHARIKIWA KITABIA NA MWENENDO...JUA CHANZO NI MWANAUME MWENYEWE. WANAUME TUNAKIMBIA WAJIBU WETU, ETY TWATAKA TUSAIDIANE NA MWANAMKE KUTAFUTA...AJAABU HII...JANAUME LAONGEA KABISA MBELE ZA WATU BILA AIBU "ETY MAISHA KUSAIDIANA BWANA SIKUHIZI"
MWANAMKE NI KAMA BENDERA TU INAFUATA JINSI NA MAHALI UPEPO WAELEKEA. MWANAMKE NI DANCERS TU WANAFUATA JINSI NGOMA INAPIGWA.
UKIONA MWANAMKE AWE BINT MDOGO AU MAMA MTU MZIMA HANA MWENENDO MZURI WA MAISHA YAKE...ANGALIA BABA AU KAKA AU MUMEWE YUPOJE...CHANZO KIPO HUKO...
WANAUME NI CHANZO CHA KUHARIBIKA NDOA ZETU...
Afadhali wewe umenielewa...Hakuna ambae kakupangia namna ya kuishi mzee.
Mkuu ni sahihi ulichosema.
Ukikuta wanamama wanajiuza pale wemgine watakuambia walitelekezw na baba zao.
Wengine watakuambia wana watoto wamezalishwa na waume hawahudumii.
Wengine watakuambia wanaangalia wanaume wanataka nini,kwa hiyo bila wewe mwanaume kahaba angejiuza ?
Bila shaka asingejiuza,kwa hiyo hapa wanaume ndio tunaendeleza tatizo la ukahaba.
Ukikuta binti kavaa vibaya mtaani ana wazazi,utakuta baba anasema KILA MTU NA MAISHA YAKE,baba huyu ni tatizo analea bomu.
Mtoa mada uko sahihi.
Nchi ikiharibika basi raisi ndo alaumiwe.
Na jamii ikiharibika basi mwanaume ndo alaumiwe.