Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Mpo wawili mtu unajigubika manguoa,umevaa nguo ya kitenge ina bega kama pembe za ndovu,lemba sasa kama mama wa kinaijeria kahudhuria ndoa ya mwanae
Wewe MBITIYAZA ya ukweli hayo kwahiyo wote mnakimbia mijusi na konokono[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hilo la kodi ya nyumba itakuwa unamsema Mme wa j. Kiria wewe,Anajua ni wajibu wake kutunza familia, atanunua kiwanja na kujenga nyumba na kama mmepangisha atalipa kodi
Akifanya haya hata mkate ukiisha unaona aibu kumwambia
Kwanini unazima main switch kukiwa na radi?hhhhaa kuna wat waoga wewe acha tu!kuzima mainswitch kisa kuna radi anaogopa tena anakimbia live !yaan mm binafsi sipendi nijue uoga wa mwanaume kbs !najihs sitakuwa safe maishani...mifano po mob
Inajizima yenyewe ikitokea kitu si cha kawaida.hhahha si wanadai tuzime...kuzuia hatar
Haha bujibuji ananfurahishaga,yan uyo nikimtaja kitakuja kikosi kunihamisha humu,mana pamoja na dharau zake lakin ana wafuasi wanamkubali,sa sijui wanamkubali kinafiki ili wasichambwe au wako realhhahaah kama namhis hv!bila shaka hyo ni mdogowangu Bujibuji (jokes)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahhhhhhahahhahahahhahahahh dogo naumwa jaman nimecheka sana mwili unauma!ahahaah eti pemmbe za ndov haaahahahahahhahahahhahahahahhahahahhahahahhahaha
Sasa dada yangu, asubuhi naenda ofisini na shati jeupe, gari imepata pancha unategemea niingie uvunguni wakati kuna vijana wamekaa kijiweni wanasubiri hela ya kula?! Si nampa 2000/- anabadili tairi.Hilo neno ndugu yangu, kuna jamaa kaenda kutembelea ndugu tyre pancha hiyo mwanaume na shemela wake wakashikiana na kubadilisha jingine mambo mswano sio hapa kuna garage karibu
hahaahahahahaahhaWanawake bwana!
Eti raha sana kuona jasho linatiririka Mara sijui boxer ionekane.....
Watu tunatiririsha jasho huku mashambani ukirudi nyumbani hata hamu ya kugegeda huna!
Kumbe nyi ndo mnafurahi....
Hua una akili sanai knw him
Umeolewa?i knw him