Mwanaume ndo huyu

hhhhaa kuna wat waoga wewe acha tu!kuzima mainswitch kisa kuna radi anaogopa tena anakimbia live !yaan mm binafsi sipendi nijue uoga wa mwanaume kbs !najihs sitakuwa safe maishani...mifano po mob
Uliwa Ukiwa na mwanaume jasiri unajiamini sio akisikia puuu wakwanza kutoka nduki anasahau kama alikuwa na mkewe [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
mimi mpenzi wangu Mzigua90 kashanisifia sana inatosha sidanganyiki
 
Sio ndiyo kila siku siku moja moja na silazima gari kuna vitu vingi sasa weekend nyumban nikulala tuu, nisikuona unasafisha hata feni jamani!
 
Uliwa Ukiwa na mwanaume jasiri unajiamini sio akisikia puuu wakwanza kutoka nduki anasahau kama alikuwa na mkewe [emoji39] [emoji39] [emoji39]

hahaha hao ndo wanaume..hahaha yaan sijui niiwekeje hii waielewe
 
Tuna fen za kuzunguka humo ndani weekend upo sitting room inavumbi baba anaifungua nakuisafisha

ewaaaaaaaaaaaa! walau azungukie nyumba kuangalia ht mbwa basi !bas akogeshe walau mbwa,km josho lipo mbali au bas apeleke mwenyewe mbwa kwenye majosho !uwiii yupo tu... na majiti mdomon anasubiria match ya arsenal tu hapo !arghhh

mvua imepasua njia maji yanaharibbu nyumba !bas achukue jembe achonge njia hakuna !anasubiria hausboy!mxiew
 
Tuna fen za kuzunguka humo ndani weekend upo sitting room inavumbi baba anaifungua nakuisafisha
Umekomalia kufuta feni. Hio feni inafungwa ndani ya dari. Maanake nipande na nyundo nikatindue misunari iliogongelewa.
Njia rahisi ni kumpa yule hg wetu ufagio wa kutolea vumbi aifute tu.
 
wewe RRONDO imagne siku unasafar !unafika porin kitu pancha !ile kuweka tu jeki chin ya gari huwez achana na kufungua ht zile nut...mm nazungmzia hao!nn shat jeupe!lol
 
Umekomalia kufuta feni. Hio feni inafungwa ndani ya dari. Maanake nipande na nyundo nikatindue misunari iliogongelewa.
Njia rahisi ni kumpa yule hg wetu ufagio wa kutolea vumbi aifute tu.
hhhaa wewe ndo naomba uelewe kwann umpe beki 3 kwan ww huwez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…