Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida na tait yangu basihahhha bhaeleze !nakumiss
Pole mpenzi, alinivunja mbavu hatareeehahhhhhhahahhahahahhahahahh dogo naumwa jaman nimecheka sana mwili unauma!ahahaah eti pemmbe za ndov haaahahahahahhahahahhahahahahhahahahhahahahhahaha
Tuna fen za kuzunguka humo ndani weekend upo sitting room inavumbi baba anaifungua nakuisafishaewaaaa
Uliwa Ukiwa na mwanaume jasiri unajiamini sio akisikia puuu wakwanza kutoka nduki anasahau kama alikuwa na mkewe [emoji39] [emoji39] [emoji39]hhhhaa kuna wat waoga wewe acha tu!kuzima mainswitch kisa kuna radi anaogopa tena anakimbia live !yaan mm binafsi sipendi nijue uoga wa mwanaume kbs !najihs sitakuwa safe maishani...mifano po mob
mimi mpenzi wangu Mzigua90 kashanisifia sana inatosha sidanganyikiLa mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
- Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
- Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
- Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
- Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
- Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU
UNSPECIFIED
@akiliZaDesperado
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kwani yeye kasema alikuwa halipi kodi ya nyumba?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo la kodi ya nyumba itakuwa unamsema Mme wa j. Kiria wewe,
Sio ndiyo kila siku siku moja moja na silazima gari kuna vitu vingi sasa weekend nyumban nikulala tuu, nisikuona unasafisha hata feni jamani!Sasa dada yangu, asubuhi naenda ofisini na shati jeupe, gari imepata pancha unategemea niingie uvunguni wakati kuna vijana wamekaa kijiweni wanasubiri hela ya kula?! Si nampa 2000/- anabadili tairi.
Kubadili hilo tairi sio issue, matokeo ya hio kazi ndio issue. Saa zingine tunagawana riziki sio kila kitu unakomaa.
[emoji23] [emoji23]hahaahahahahaahha
Tuna fen za kuzunguka humo ndani weekend upo sitting room inavumbi baba anaifungua nakuisafisha
Jumamosi kabla hajatoka kwenda kukaa counter anahakikisha mahindi yamesagwa, fridge iko ok, na mmeshakula lunch pamoja
Umekomalia kufuta feni. Hio feni inafungwa ndani ya dari. Maanake nipande na nyundo nikatindue misunari iliogongelewa.Tuna fen za kuzunguka humo ndani weekend upo sitting room inavumbi baba anaifungua nakuisafisha
Wengine tuna hobby tufauti na viti virefu.Halafu anatoka peke yake au mnatoka wote?
hhhaa wewe ndo naomba uelewe kwann umpe beki 3 kwan ww huwezUmekomalia kufuta feni. Hio feni inafungwa ndani ya dari. Maanake nipande na nyundo nikatindue misunari iliogongelewa.
Njia rahisi ni kumpa yule hg wetu ufagio wa kutolea vumbi aifute tu.