Mwanaume ndo huyu

Anajua ni wajibu wake kutunza familia, atanunua kiwanja na kujenga nyumba na kama mmepangisha atalipa kodi

Akifanya haya hata mkate ukiisha unaona aibu kumwambia
Hui ni ujuha. Niile zamani. Mnapotaka haki sawa ni kwenye eneo gani hasa, km kila kitu mnamuelekezea mwanaume. Pigeni msuli pamoja. C kila kitu mwanaumemwanaume alafu iweje? Km huna kazi uko home utaeleweka na kukaa home upambane na hali ili maisha yasonge mbele. Kwanza wanaume wa namna hiyo wanawaharibu wanawake siku hayupo mnaanza kujiuza kwakuwa hamjazoea kuwajibika zaidi yakuwajibikiwa.
 
Na yule anaye twanga miti hata mitano kwa mpigo
 
Mimi huu mzigo nilioning'iniza una cover nafasi zote hizo kwani ukiuona bila shaka utasahau shida zako.
 
Hapa moja kwa moja nimefuzu mimi
 
Ajabu mtu anang'ang'ania watu waishi anavyoona yeye inafaa.
Hata mimi ndio nashangaa na ndio nimegundua hizi parameters walizo eja zina indicate maisha yao huko waliko ila wao wanataka wageneralize
 
Sifa moja inatosha kuthibitisha kuwa huyu ni mwanaume ili mradi awe nayo, zingine ni kumkamilishia tu kuwa ni mwanaume wa aina fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…