Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hui ni ujuha. Niile zamani. Mnapotaka haki sawa ni kwenye eneo gani hasa, km kila kitu mnamuelekezea mwanaume. Pigeni msuli pamoja. C kila kitu mwanaumemwanaume alafu iweje? Km huna kazi uko home utaeleweka na kukaa home upambane na hali ili maisha yasonge mbele. Kwanza wanaume wa namna hiyo wanawaharibu wanawake siku hayupo mnaanza kujiuza kwakuwa hamjazoea kuwajibika zaidi yakuwajibikiwa.Anajua ni wajibu wake kutunza familia, atanunua kiwanja na kujenga nyumba na kama mmepangisha atalipa kodi
Akifanya haya hata mkate ukiisha unaona aibu kumwambia
Aisee, ulimbukeni bado unazidi kushika kasi sana
Na yule anaye twanga miti hata mitano kwa mpigoLa mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
- Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
- Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
- Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
- Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
- Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU
UNSPECIFIED
@akiliZaDesperado
Hapa moja kwa moja nimefuzu mimiLa mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
- Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
- Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
- Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
- Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
- Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU
UNSPECIFIED
@akiliZaDesperado
Wengine tuna hobby tufauti na viti virefu.
Hata mimi ndio nashangaa na ndio nimegundua hizi parameters walizo eja zina indicate maisha yao huko waliko ila wao wanataka wageneralizeAjabu mtu anang'ang'ania watu waishi anavyoona yeye inafaa.
Lekaga shi nangho enjem