Mwanaume ndo huyu

Mwanamke Mwenye Uwezo Mdgo Wa Kujibeba Ni Mzgo
 
Anajua ni wajibu wake kutunza familia, atanunua kiwanja na kujenga nyumba na kama mmepangisha atalipa kodi

Akifanya haya hata mkate ukiisha unaona aibu kumwambia

unapata na kamzuka ka kumkata kucha na kumfanyia scrub!lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…