Mwanaume ndo huyu

Mwanaume ndo huyu

Kimsingi mtoa mada anazungumzia umuhimu wa basic skills... kwamba hata kama pesa ipo, bado kuwepo na fursa ya kupunguza ukubwa wa tatizo kabla hajaitwa fundi! Naunga mkono hoja! Mtoa mada Ahsante kwa somo zuri

WANAUME MMEBAKI WACHACHE SANA !njoo pm nikupe zawadi aisee
 
Hahahaaa. Eti gym inatosha lol.

Haya bana jirani ila hilo jasho la gym halitoshi bana. Hahahaaaa.
Sawa jirani. Tutajitahidi tufanye mnavyotaka.[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Hahahaaa. Msg sent lol.

Nimecheka hiyo ya kutoa tyre walio wengi wanajua kuendesha tu na huwa ikifikia hiyo hali mpaka wawapigie simu mafundi wao waje kuwatolea na hata wale wanaoweza huwa hawatakagi kuchafuka.

Hatari sana Mbiti.
Nitoe tairi kwani mimi fundi makenika??

Nakusalimia tu, wala simo kwenye huu mjadala....
 
Kama nimemuelewa vizuri Mbiti anasemea wale wababa ndani ya nyumba yaani ana kazi nyingine kabisa ila kinyumbani nyumbani haitokei hata siku moja akawahi ona nyasi au fensi imekua akajiamulia kufanya kazi ya kuziweka sawa.

Ni mfano ana mifugo basi akaamua hata kuiwekea nyasi kidogo.

CC MBITIYAZA uje nikosoa kama nami nimeelewa sivyo.

Sasa kama nje nimeweka pavings na fensi yangu ni ukuta nilioweka marumaru... hilo panga na fyekeo nilatununua la kazi gani??

Gari kupata pancha ni uzembe... kwanini ununue tairi za bei chee?? Kwanini ukae na tairi kwenye gari kwa zaidi ya mwaka mmoja?? afu mzee kama mimi nimeajiri dereva kabisa, yani gari lipate pancha kwa bahati mbaya nihangaike kubadili tairi afu dereva atafanya nini??

Narudia tena, mi nakusalimu tu, huu mjadala haunihusu kabisaaaa....
 
hahaha ule ni mfano tu.....
 
Back
Top Bottom