Mwanaume ndo huyu

Mwanaume ndo huyu

soma post ya rebecca huenda ukaelewa
Mbona nmeilewa mama hata yako nimeilewa ila kwa maisha ya huku mjini security iko kwenye wallet.sasa mie nkienda kukata mamiti kibarazani shamba boy atakula wapi.hizo insticts zenu za kutaka security ni understandable ni animal insticts ziko kwa wanyama wote.sasa ukisema uziendekeze unapotea
 
Ni vizuri kuheshimu kaz za watu dada yangu.

Sasa mim nkifanya kaz zote si watu watakosa ajira.
Hahahaa. We Kakaaa.

Hata kwa kutoa tyre pia [emoji15] mie naona gari kama ina shida nyingine hapo sawa ila hiyo ya tyre sio ya kusema eti umwite fundi atoke hukooo aliko wakati ulikuwa na uwezo wa kubadilisha tyre na safari ikaendelea pasi kupoteza muda kumsubiria fundi.
 
Mbona nmeilewa mama hata yako nimeilewa ila kwa maisha ya huku mjini security iko kwenye wallet.sasa mie nkienda kukata mamiti kibarazani shamba boy atakula wapi.hizo insticts zenu za kutaka security ni understandable ni animal insticts ziko kwa wanyama wote.sasa ukisema uziendekeze unapotea

kazi ipo
 
Ki ukweli wali vo vitaja havi mrepresent mwanaume yaan nadhani mwandishi anaongelea mazingira yake
Ambayo haya apply kwa kila mtu
 
  • Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
  • Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
  • Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
  • Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
  • Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
La mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU

UNSPECIFIED

@akiliZaDesperado
Mama nilishakwambia tabia yakuja kuleta mambo yetu ya ndani humu sio poa ila naona unielewi ok endelea kuvujisha sizina faida kwako?

Cc: MBITIYAZA
 
Kimsingi mtoa mada anazungumzia umuhimu wa basic skills... kwamba hata kama pesa ipo, bado kuwepo na fursa ya kupunguza ukubwa wa tatizo kabla hajaitwa fundi! Naunga mkono hoja! Mtoa mada Ahsante kwa somo zuri
 
Leo umeniuzia chapati zimeungua ila maandazi yalikua bomba.Au ile divert ya barabara inasababisha utulivu ma mapishi uvurugike?

Asprin yupo kwenye hili kundi? Sijaona wazee wa viti virefu wakitajwa
Hapa kuna nini swahiba???

Ila all in all.... you never know with women...
 
Mama nilishakwambia tabia yakuja kuleta mambo yetu ya ndani humu sio poa ila naona unielewi ok endelea kuvujisha sizina faida kwako?

Cc: MBITIYAZA

we nawe!zikiitwa siri hii nayo siri !sasa kwa taarifa yako leo nlikua safarin..nikakutana na men anatoa tyre..anasweat!kaka smart !bas ikawa mada hapo sasa!usinibabaishe
 
Back
Top Bottom