usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Mwanaume anaanza jeHawezi kukuacha ubebe mzigo mzito
Kukuacha mkewe ataabike
Na mizgo na akiwepo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume anaanza jeHawezi kukuacha ubebe mzigo mzito
Gojaga nalejinge,, bhebhe MBITIYAZA ali nzo!hamo igosha, nilembaga ikema
Haha swahiba nimepita nawapungia mkono tu. Nimekosa maneno swahiba.Hahahaaa. Ndio nini sasa Swahiba hutii hata neno?
NmekumisKweli kabisaa
A good summary of this thread.tunapenda security,hizo kazi za kutoa jasho ni quiet reminder kuwa tuko safe/protected..
Ni vizuri kuheshimu kaz za watu dada yangu.Hahahaaa. Msg sent lol.
Nimecheka hiyo ya kutoa tyre walio wengi wanajua kuendesha tu na huwa ikifikia hiyo hali mpaka wawapigie simu mafundi wao waje kuwatolea na hata wale wanaoweza huwa hawatakagi kuchafuka.
Hatari sana Mbiti.
Wakina sieHizi sifa zipo zaidi kwa hawa waume zetu wa mikoani
Tunawapenda sana
Satellite inanionesha
Mheshimiwa upoo AreaNadhani kichwa cha habari kingekuwa, mwanaume ambaye wewe unampenda anafaa awe hivo
Ila vyooote hivo hata sio vitu vya msingi kwa mwanaume
Brother nikajua ulibadili IDMheshimiwa upoo Area
Hata luku ikikata huhangaiki kumpigia,unajiongeza tu mana anafanya vitu vikubwa vya maanaKitandani pia hungoji shuka zichakae