Mwanaume ndo huyu

Mwanaume ndo huyu

Anajua ni wajibu wake kutunza familia, atanunua kiwanja na kujenga nyumba na kama mmepangisha atalipa kodi

Akifanya haya hata mkate ukiisha unaona aibu kumwambia

unapata na kamzuka ka kumkata kucha na kumfanyia scrub!lol
 
Back
Top Bottom