Mwanaume ndo huyu

Mwanaume ndo huyu

Alafu akiwa anafanyaa hizo kazi awe kifuaa wazi yaaaan na kajasho kwa mbaaaaali kinamtiririkaa daaaaah lazimaa umsindikize bafuni kuogaaa ukamsugue mgongo sio mwanaume kutwa nzimaa kashinda kwenye game hata nje hatoki au kutwa nzimaa anashinda jf kukosoa watu

simu lake ukishika kwenye search engne ni mimechi tu ya mpira!mara EPL,mara lariga sijui,mara nn sijui..ht kuosha gari walau mara moja moja hawezi !yupo km misukule ya ccm
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
At kushinda Jf kukosoa watu
Kweli utshangaa mwanaume kutwa kucha yupo jf anakosoaa wanavyopost wenzano na wengine wana stress za u jobless basi kwa kutoleaa wenzao mapovu hawajambo
 
Kweli utshangaa mwanaume kutwa kucha yupo jf anakosoaa wanavyopost wenzano na wengine wana stress za u jobless basi kwa kutoleaa wenzao mapovu hawajambo
Yupo mmoja wa hivo humu jf ananiuzi sana kiukweli,nkionaga comment yake nascrow fastaaaaaa anajikuta sana yule mtu,halafu ukute uko mtaani ni bonge la kinyago[emoji57]
 
Kweli utshangaa mwanaume kutwa kucha yupo jf anakosoaa wanavyopost wenzano na wengine wana stress za u jobless basi kwa kutoleaa wenzao mapovu hawajambo
[emoji23]

Why you are so angry?
 
Wanawake bwana!
Eti raha sana kuona jasho linatiririka Mara sijui boxer ionekane.....

Watu tunatiririsha jasho huku mashambani ukirudi nyumbani hata hamu ya kugegeda huna!
Kumbe nyi ndo mnafurahi....
Wale wakulima si wamchezo wanalima lakini kila siku wanapata watoto unazani wanawaokota wanafanya kazi mkuu
 
ha

hamueleweki mbona wa hivi wabeba mizigo wamejaa ubungo bus stand wakiwasimamisha mnakimbia eti wananuka vikwapa mmetuchosha na kutokijatambua kwenu..Mnashinda kukimbilia wenye magari leo mnasema mwataka wakata fensi na wapiga jeki ahahahhaaa mpaka mjitambue kiama kimefika
Jasho la nyumbani ukitoka huko unakoga na perfume kidogo kisha unajizungusha kijasho kina kutoka
 
Hahaaa. Wakati naandika jirani nilijikuta natamani niongeze hako kaneno ka vijana kukosa ajira nikiwa nawaza mtajitetea kwenye hilo kumbe nawe umeliona na kunibania hapo. Lol.

Sio mbaya ila basi hata mara moja moja jirani muwe mnapumzisha pesa kidogo za kuwapa hao mafundi au na upande wa nyumbani naye houseboy siku hiyo awe na vimapumziko kidogo ili baba naye atoke jasho. Teh.
Baba anafutafuta gari yake mama unaitwa mama Janet embu niongezee maji hapa maana nilivyochafuka nitakuchafulia ndani kwako
 
Yupo mmoja wa hivo humu jf ananiuzi sana kiukweli,nkionaga comment yake nascrow fastaaaaaa anajikuta sana yule mtu,halafu ukute uko mtaani ni bonge la kinyago[emoji57]
namim naanza nawew kwanin unamxema mwenzako ili uonekane una kazi au? haya ni maixha tyu scrol na hii
 
hahahaha iweke fresh hv;kuna radi ya hapa na pale !basi radi lipige akimbilie kwenye mainswitch mwenzako ataogopa !atamwambia dada wa kazi au wife azime!lol
Wewe MBITIYAZA ya ukweli hayo kwahiyo wote mnakimbia mijusi na konokono[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
namim naanza nawew kwanin unamxema mwenzako ili uonekane una kazi au? haya ni maixha tyu scrol na hii
Hujanielewa kijana,namaanisha huyo mtu yeye post yoyote anayopita lazima akosoe tena kwa matusi,yani anajikuta yeye ndo mkamilifu na ana akili kuliko watu wote.

Huko ulikofika mimi wala sipo huko
 
Back
Top Bottom