Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Sasa hivi nchi imetulia tulii kama kama maji, hakuna mashindano, hakuna ari ya kutaka kuwa wa kwanza na kuwazidi wengine, hata washindani wa Tanzania kama Kenya wame relaxed na kupumua kwani hakuna mikiki mikiki ya ushindani wanapata kila wanachokitaka.
Hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Mwanamke na Mwanaume, wakati Magufuli ni raisi hatukutulia ilikiwa ni mikiki mikiki, tunashindana, tulitaka kushinda kila mahali, tuli revenge tulipokuwa violated, tulifanya tit for tat hiyo yote ni testosterone ya kiume, a man must win hiyo ni nature ya Mwanaume.
Sasa ina faida na madhara yake, ndiyo maana wanasema Dunia ingeongozwa na Wanawake kusingekuwa na Vita au labda tuseme Vita vingepungua kwa maana Wanawake siyo competitive by nature wanaridhika na kilichopo wakati Mwanaume ni risk taker.
Hivyo labda ni kweli Dunia ingepoa kuhusu vita lkn pia ingekuwa nyuma kimaendeleo kama Wanawake wangeachiwa kutawala.
Mwanamke anahitahi vitu vichache sana aridhike na maisha, lkn a man is a risk taker, fikiria wanaokwenda kuiba mafuta kwenye lori lililopata ajali na kuwaka moto, thats a man, …