Kijakazi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2007 Posts 7,093 Reaction score 10,469 Feb 11, 2023 Thread starter #21 imhotep said: Upuuzi. Click to expand... Lakini ndiyo nature hiyo, unaita upuuzi, umemfikisha Mwanaume mwezini, upuuzi huo huo Wright brothers waliruka angani kuhatarisha maisha yao leo hii kuna Boeing au hata Airbus, …
imhotep said: Upuuzi. Click to expand... Lakini ndiyo nature hiyo, unaita upuuzi, umemfikisha Mwanaume mwezini, upuuzi huo huo Wright brothers waliruka angani kuhatarisha maisha yao leo hii kuna Boeing au hata Airbus, …
Y yvegenc prymacov JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 1,530 Reaction score 1,961 Feb 11, 2023 #22 imhotep said: Ushindani wa kuua Wananchi wako na kuliingiza Taifa lako kwenye madeni ya kutisha? Click to expand... Kwenye mijadala ya watu wenye uoni mkubwa na akili kubwa,wajingawajinga muwe mnakaa pembeni,
imhotep said: Ushindani wa kuua Wananchi wako na kuliingiza Taifa lako kwenye madeni ya kutisha? Click to expand... Kwenye mijadala ya watu wenye uoni mkubwa na akili kubwa,wajingawajinga muwe mnakaa pembeni,