MUCOS
Member
- Jun 24, 2024
- 99
- 357
Ndugu zangu natumai mko salama kabisa.
Matumizi
a. Baada ya kuoga/kuosha nywele paka mafuta yako kwa kutumia mkono.
b. Pia unaweza kupaka mafuta haya hata kama hujaosha nywele/kwa nywele kavu.
c. Paka Mara moja tu kwa siku. Na tumia kiasi kidogo sana kwani mafuta haya yanakolea sana na kwa haraka.
Ubora
a. Kufanya nywele kuwa nyeusi ti ndani ya mwezi mmoja.
b. Kufanya nywele kumeremeta na kunawiri.
c. Kuongeza kasi ya kukua kwa nywele.
d. Inasaidia kupunguza na pia kutokuonesha mvi.
e. Hairabu nywele kama super black. Hapa utasahau kabisa matumizi ya super black.
f. Bei yake ni affirdable)/ipo chini. Kopo dogo linauzwa kuanzia elfu tatu.
g. Unaweza kutumia pamoja na mafuta mengine hasa ya nywele ya mgando au mafuta ya maji/nazi.
Changamoto
a. Huacha mabaki madogo madogo katika mikono baada ya kutumia. Hivyo kunawa mikono na maji safi na sabuni ni muhimu baada ya matumizi.
b. Huweza kuacha uchafu kwenye shuka kwa kiasi kidogo. Hivyo wakati wa kulala tumia kofia ya kulalia au osha nywele kabla ya kulala.
Asanteni sana.
Karibuni tupendeze