OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapo mimi ndio kanikata stimu. Napenda nywele fupi salon mara 2 kwa wiki.Kitu kimoja umearibu kutangaza bidhaa yako kuwa inakuuza nywele haraka sana hivyo sio suitable kwa wote wale wasio penda nywele