Mwanaume pendezesha nywele yako kwa mafuta haya

Mleta mada wala hatangazi biashara ni watanzania wameanza kumlewa jamaa vibaya.

Ishu ya kuchafua mashuka na mashati hata black shine na super black ni kiboko ya kuchafua....zingatieni usafi kwa kila kitu.

Ishu ya bei sio case sana kwa superblack shingapi au black shine???

Kama mwanaume huna unachokijua kuhusu unadhifu dont judge??? Pita kama huna fantasy.
 
Mkuu Asante sana kwa kunisaidia hili. Nashangaa wadau wamegeuza hii ajenda kuwa natangaza biashara. By the way asante kwa kuwa mnadhifu mkuu. Naona wanaume wengi humu uchafu ni kigezo cha kuwa mwanaume kamili. Haha haha haha
 
Waende kwenye mantiki na dhana ya mwanaume kamili, uchafu sio sifa ya uwanaume bali ni ushamba tu.

Ukiona mwanamke anasifia uchafu wa mwanaume kuna dhana anakuwa nazo:
1. Anataka amchune mwanaume na ashamwona mshamba.

2. Akibahatika kumlala atamdharau na kumtangaza hata kama sio kwa shoga zake ila indirect way, utasikia anasema mahali jamani kuna wakaka wachafu sana.

3. Mwanamke anayedate na mwanaume mchafu mara zote wanaendana kiuchafu unakuta mwanamke naye ni mchafu sana.

4. Wapo wanawake wana wavumilia wanaume wachafu na huwa wanawasema ni kero mfano kuna jamaa kitaani kaachwa na mwanamke wake kwa ajili ya uchafu, japo kuwa demu hakuwa msafi sana ila yamemshinda 🤭🤭🤭😅😅😅
 
Nikishapiga futa langu la nazi sina muda! Mwanaume hapaki kila sehemu ya mwili na mafuta yake!!
 
Sasa imagine we ni mwanaume pumbu zina ule ukurutu kabisa afu unaomba demu akunyony au mgongo una mabalango afu unataka demu akupe mahaba how?????😅😅😅

Mimi huwa nafanya usafi sehemu zote za mwili.
 
Ukurutu ni uchafu, uchafu wa mwili ndio hupelekea ukurutu. Mafuta ya nazi ni mazuri kwa ngozi na sehemu yoyote unaweza pakaa hadi nywele!! Waulize Malegend wakupe uzuri wa mafuta ya nazi.
 
Si hivyo tu mkuu umependeza afu unabeba mizigo ya samaki ferry😷
Wengi wanao pendeza sana huwakuti huko, lakini hata hao wa ferry na wanaweza vaa nguo za kazi na wakiwa home unawakuta wako safi tu kikubwa kupunguza uchafu.
 
Ukurutu ni uchafu, uchafu wa mwili ndio hupelekea ukurutu. Mafuta ya nazi ni mazuri kwa ngozi na sehemu yoyote unaweza pakaa hadi nywele!! Waulize Malegend wakupe uzuri wa mafuta ya nazi.
Ni sawa lakini kwan nini usipake mafuta mwili mzima 😅😅😅
 
Narudia tena, mafuta ya nazi yanapakwa mwili mzima. Hata watoto wadogo hufanyiwa massage kwa mafuta ya nazi mwili mzima.
 
1726423995271.png
 
Haya ni mafuta maalum kwaajili ya kinamama, kinadada na mashoga
 
Back
Top Bottom