Mkuu Asante sana kwa kunisaidia hili. Nashangaa wadau wamegeuza hii ajenda kuwa natangaza biashara. By the way asante kwa kuwa mnadhifu mkuu. Naona wanaume wengi humu uchafu ni kigezo cha kuwa mwanaume kamili. Haha haha hahaMleta mada wala hatangazi biashara ni watanzania wameanza kumlewa jamaa vibaya.
Ishu ya kuchafua mashuka na mashati hata black shine na super black ni kiboko ya kuchafua....zingatieni usafi kwa kila kitu.
Ishu ya bei sio case sana kwa superblack shingapi au black shine???
Kama mwanaume huna unachokijua kuhusu unadhifu dont judge??? Pita kama huna fantasy.
Waende kwenye mantiki na dhana ya mwanaume kamili, uchafu sio sifa ya uwanaume bali ni ushamba tu.Mkuu Asante sana kwa kunisaidia hili. Nashangaa wadau wamegeuza hii ajenda kuwa natangaza biashara. By the way asante kwa kuwa mnadhifu mkuu. Naona wanaume wengi humu uchafu ni kigezo cha kuwa mwanaume kamili. Haha haha haha
Sasa imagine we ni mwanaume pumbu zina ule ukurutu kabisa afu unaomba demu akunyony au mgongo una mabalango afu unataka demu akupe mahaba how?????π π πNikishapiga futa langu la nazi sina muda! Mwanaume hapaki kila sehemu ya mwili na mafuta yake!!
Kila kitu katika maisha yako kina utaratibu....ni wewe hujaamua kutumia muda wako vizuri.muda wa kulala na kofia ya kulali naupatia wapi ndugu
Si hivyo tu mkuu umependeza afu unabeba mizigo ya samaki ferryπ·Umependeza alafu huna miaπ€
Qmmmkk π€£π€£π€£Ulale na kofia demu ukiachana nae anakutangaza we shoga
Ukurutu ni uchafu, uchafu wa mwili ndio hupelekea ukurutu. Mafuta ya nazi ni mazuri kwa ngozi na sehemu yoyote unaweza pakaa hadi nywele!! Waulize Malegend wakupe uzuri wa mafuta ya nazi.Sasa imagine we ni mwanaume pumbu zina ule ukurutu kabisa afu unaomba demu akunyony au mgongo una mabalango afu unataka demu akupe mahaba how?????π π π
Mimi huwa nafanya usafi sehemu zote za mwili.
hongera kwa kumiliki kofia ya kulaliaKila kitu katika maisha yako kina utaratibu....ni wewe hujaamua kutumia muda wako vizuri.
Wengi wanao pendeza sana huwakuti huko, lakini hata hao wa ferry na wanaweza vaa nguo za kazi na wakiwa home unawakuta wako safi tu kikubwa kupunguza uchafu.Si hivyo tu mkuu umependeza afu unabeba mizigo ya samaki ferryπ·
Hahaha ni durags π π πhongera kwa kumiliki kofia ya kulalia
Ni sawa lakini kwan nini usipake mafuta mwili mzima π π πUkurutu ni uchafu, uchafu wa mwili ndio hupelekea ukurutu. Mafuta ya nazi ni mazuri kwa ngozi na sehemu yoyote unaweza pakaa hadi nywele!! Waulize Malegend wakupe uzuri wa mafuta ya nazi.
Narudia tena, mafuta ya nazi yanapakwa mwili mzima. Hata watoto wadogo hufanyiwa massage kwa mafuta ya nazi mwili mzima.Ni sawa lakini kwan nini usipake mafuta mwili mzima π π π
Hapo ndo nakuelewa chifu....Narudia tena, mafuta ya nazi yanapakwa mwili mzima. Hata watoto wadogo hufanyiwa massage kwa mafuta ya nazi mwili mzima.
Kuna watu wako serious sana na usingizi.muda wa kulala na kofia ya kulali naupatia wapi ndugu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ulale na kofia demu ukiachana nae anakutangaza we shoga