Mwanaume rijali yupo tayari kusamehe chochote isipokua kushea tunda la kati, hata kama ndoa itaendelea things will never be the same again

Mwanaume rijali yupo tayari kusamehe chochote isipokua kushea tunda la kati, hata kama ndoa itaendelea things will never be the same again

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Ni mapicha picha kama haya ndio hufanya iwe ngumu kusamehe

1783195256794.png


1783195450198.png
 
so long as ni yake atajua mwenyewe, kikubwa tu asinisingizie mimba
Umeongea kiukomavu mno, mimi mwanamke jambazi jambazi wa fedha ndio simsamehi hata kidogo , ila huyo alieamua kidude chake ampe nani ,sina habari nae muhimu asilete ugonjwa tu
 
Yah mwanamme kuna mambo lazima uwe na msimamo nayo mojawapo ni hilo.Mm mwanamke afanye mengine nitamrekebisha ila akifika hatua anaenda kugongwa huyo ajue mm na yy kushinei
 
Ukiimagine zile sauti anavyotoa akiisikilizia utamu kwa mwingine ndo unachoka kabisa ..😀
 
Back
Top Bottom