Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Nili....au Basi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳Mkuu umeoa? Wajukuu unawapataje kama nguvu za kiume Hazina maana kwako.😂😂
Ni vema kama unazo ila Kuna baadhi Wana changamoto pia za nguvu za kiume, mshukuru sana Mungu Kwa kukupa afya njema.Yaani nguvu si zipo nimeumbwa nafanya kazi kawaida. Ni sawa uanze kuwekeza your mental energy ya kuwa nahitaji nguvu za macho nione mbali zaidi ,ama nione vitu vidogo mno ama nguvu ya sikio ili nisikiie sauti ambazo zipo out of normal sound wave range.
Sasa yaani unazitafutia wapi so ulivyoumbwa si tayari uumbaji umekamilika ama mpaka ujiwekee kope fake ili ndio uone kuwa umeumbika sahihi.
Mie nashauri tuwekeze kwenye nguvu za kichwani
Ni kweli mkuu, mazoezi ni kitu muhimu sana ila Kwa Dunia ya Leo ya utafutaji, kupata muda wa kufanya mazoezi ni changamoto hivyo Kifaa hicho kinarahisisha ufanyaji wa mazoezi.Mwanaume smart ni kufanya mazoezi tu ya kutosha kila wakati ili kuondokana na hayo madude yote uliyoyaorodhesha hapo. Sio kuanza kutembea na hivyo vifaa artificial. Mwanaume smart sio mvivu. Labda tu uwe unatangaza biashara
Bei Mbona imewekwa mkuuWewe acha kuzunguka.
Sema tu bei ya kifaa hicho.
Sisi ambao hatufagilii mazoezi hata urembe vipi hatununui.