Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Wakuu. kuna watu wanatafuta pesa kwa shida sana kwenye kuitafuta. ila inapo kuja kwenye kupata faraja jion au akirud kwa yule ampendae pia ana ambulia zarau, kejeli na kero mbali mbali, u
Kwa matabaka yote ya kiuchumi
Kwa wenye maisha mazuri mwenye uwezo wa kumpangishia mwanamke nyumba, chumba , apartment ila utakuta anakupangia muda wa kwenda na wew ndo una lipa kodi kisa una mpenda unakua msukule kwake too pathetic.
Kwa wenzangu na mimi chini ya dola moja. Una jibana una mtumia salio la mwezi ila hujawai kupigiwa ata mara moja muda wote una piga wewe tu, una jituma vya kutosha ila dhaman ya pesa yako haioni.
Tuamke usingizini wanaume tuna tafuta pesa kwa jasho na tabu sana, ili tuwa furaishe tuwapendao ila value for money haionekani zaid ya maumivu amka usingizini acha kuudumia mtu asie tambua umuimu wako. Over