Mwanaume tambua uko peke yako na unawajibika kivyako

Mwanaume tambua uko peke yako na unawajibika kivyako

Wanaume tumeumbwa!!! matesoo!!! matesoo!!! kuhangaika!!!!
 
Wasalaam Wakuu,

Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo

1. Hakuna anayekujali.
2. Sio mkeo.
3. Sio familia yako
4. Si marafiki zako.
5. Sio wenzako unaofanya nao kazi.
6. Hakuna mtu anayekujali.

Watu hufanya mambo kama wanajali lakini ndani yao hakuna kabisa.

Tambua uko peke yako na una wajibika kivyako.

Wakati mwema.
yes,, nobody is somebody to you.
 
Back
Top Bottom