Mwanaume Ukifumaniwa unachepuka, usikimbie

DP wewe unajielewa ,,,wengine wangekuachia fani yako Kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]wenzio waoga
Usalama wa Mchepuko
Ni kipaumbele namba One unapofumaniwa maana yeye ndio target ya fumanizi.

Tumeshuhudia Sana Mwanaume ukilegea,eti unakimbia unaacha msala mkubwa nyuma.

Atachaniwa nguo zake zote, kutemewa mate na kutembezwa barabarani uchi na vichapo kibao chungu mzima[emoji4]
 
Watajifunza kitu.
 
Unakimbia ili iweje?

Sawa umekimbia ndio,
Uyo Mchepuko wako unamuacha katika Hali gani, akiuwawa na mkeo je?

Hujui utakua umepoteza Mara 2?
Mkeo ataenda jela,Mchepuko ataenda mochwari, watoto wako atalea Nani?
Kwel mkuu deepond,

Hakuna kukimbia sisi NDIO WANAUME hatukimbii tena....

Huu NDIO msimamo wa WANAUME wotee...

Naomba kuwasilisha hoja Mh.
 
Hapa umeua[emoji1][emoji116]
Makalio hata ututuki yanauzwa[emoji1787]
 
Mi nimeshangaa Sana, mwanamme mzima unamkimbia mkeo utasema Teja kaona pira ,Ona Sasa kamuua mchepuko wa watu.Mara nyingi wanaume wa Aina hii wamelishwa madawa mabaya ya limbwata hawana usemi mbele ya wake.Mbona pale ilikuwa simple tu,""angemgeuzia tu kibao kaja kutafuta Nini hotelini bila kumwambia,ana miadi na Nani?
🤣🤣🤣🤣Yeye ndukii
 
Mwanaume hafumaniwa
Mwanaume hafumaniwi anayefumaniwa ni mwanamke. Tuache urojorojo. Huyo alikuwa mke mdogo, na unatakiwa umweleze live.
 
Nimekuja speeed 160 nikajua nitapata madini nifanyeje ikiwa nimefumaniwa na mwenye mke.

Yaani wewe unaeleza la kufanya ikiwa umafumamiwa na mkeo, are serious?

Mkeo anaanzaje kukutafuta mumewe ulipo na mchepuko?

Jukumu la mke ni kutunza familia nyumbani, anapata wapi muda wa kunifuatilia? Ili iweje?

Hebu tupe mbinu za kupambana baada ya kufumwa ukimkamua mke wa raia, tena raia mwenyewe mtata kama vile mjeda au polisi hivi. Maana nasikia wake zao hawaguswi.

Lete madini.
 
Mwanaume hua hafumaniwi! Hua ANAKUTWA!

Mwanamke ndio anafumaniwa
umemaliza, kwanza unakiwa umhoji ametokaje nyumbani bila taarifa yako na amemwacha nani nyumbani. Ilitakiwa asirudi kwako mpaka ajieleze vizuri. Tena waziri? Huyo mwanamke atakuwa ameshamtupia uhoro huyo waziri, wanawake washerati sana. sasa angalia umemwua mdada au mama wa watu anategemewa pengine ana watoto na lazima wategemezi anao.

We uko mahututi hospitalini unapambana na kifo na pengine ukakata roho, hilo jike litakuja kufumuliwa kwa speed ya 5G we unateseka na adhabu ya kaburi. Akiondoka naoa huyo mchepuko, mke siyo dadako bwana.
 
Mwanaume hafumaniwa

Mwanaume hafumaniwi anayefumaniwa ni mwanamke. Tuache urojorojo. Huyo alikuwa mke mdogo, na unatakiwa umweleze live.
Hata angekua MKE mkubwa,
Bado upaswi kukubaliana kufumaniwa[emoji4]
 
Utasemaje sasa, 'alikua ananibaka...' [emoji23]
Utasema mimi mwenyewe nilipata taarifa kutoka kwa majirani kwamba upo hapa hotelini umekuja na mwanaume,ndo nimekuja kukufumania,huyu unaemuona hapa ni polisi amekuja kuimalisha ulinzi.

Na akiwa amekuja na mwanaume kwaajili ya kukukamata basi kesi inageuka unakamata wote unaweka chini,fumanizi tayari,kesi imegeuka.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nani kakudanganya,
Vibao anakula vizur Sana,
Baadae chumban yanazungumzika,
Kamwe usiingilie ugomvi wa wapendanao[emoji4]
Hatuingilii bali tunashauri tu maana inategemea na uwezo wa mtu kuelewa.
 
nyie ni mapro aisee 😂
 
Ujengewe SANAMU PALE ROUND ABOUT YA Mlimani City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…