Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usalama wa MchepukoDP wewe unajielewa ,,,wengine wangekuachia fani yako Kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]wenzio waoga
Watajifunza kitu.Na hapa ndio utakuta ule ujinga alonao mwanamke ndio unaomsukuma mwanaume kutafuta michepuko, ambapo anaishia kufumaniwa, anakimbia kisha anapata ajali mwisho afe kabisaaa
Wanaume oeni wanawake wenye uwezo wa kutatua matatizo ya familia. Makalio hata uturuki yanauzwa🙄🙄
Kwel mkuu deepond,Unakimbia ili iweje?
Sawa umekimbia ndio,
Uyo Mchepuko wako unamuacha katika Hali gani, akiuwawa na mkeo je?
Hujui utakua umepoteza Mara 2?
Mkeo ataenda jela,Mchepuko ataenda mochwari, watoto wako atalea Nani?
Hapa umeua[emoji1][emoji116]Na hapa ndio utakuta ule ujinga alonao mwanamke ndio unaomsukuma mwanaume kutafuta michepuko, ambapo anaishia kufumaniwa, anakimbia kisha anapata ajali mwisho afe kabisaaa
Wanaume oeni wanawake wenye uwezo wa kutatua matatizo ya familia. Makalio hata uturuki yanauzwa[emoji849][emoji849]
Mi nimeshangaa Sana, mwanamme mzima unamkimbia mkeo utasema Teja kaona pira ,Ona Sasa kamuua mchepuko wa watu.Mara nyingi wanaume wa Aina hii wamelishwa madawa mabaya ya limbwata hawana usemi mbele ya wake.Mbona pale ilikuwa simple tu,""angemgeuzia tu kibao kaja kutafuta Nini hotelini bila kumwambia,ana miadi na Nani?Usalama wa Mchepuko
Ni kipaumbele namba One unapofumaniwa maana yeye ndio target ya fumanizi.
Tumeshuhudia Sana Mwanaume ukilegea,eti unakimbia unaacha msala mkubwa nyuma.
Atachaniwa nguo zake zote, kutemewa mate na kutembezwa barabarani uchi na vichapo kibao chungu mzima[emoji4]
Mwanaume hafumaniwi anayefumaniwa ni mwanamke. Tuache urojorojo. Huyo alikuwa mke mdogo, na unatakiwa umweleze live.Wakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuz jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao,barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta uko uko aliko.
Kila Mara kwny vikao vyetu tunasema, Leo narudia,Tena kwa msisitizo zaid:-
Mwanaume ukishakua mchepukaji lazima uwe na plan B unatoka vipi siku Ukifumaniwa unachepuka.
Sio unaanza kuweweseka, kubabaika na kuanza kujieleza Sana ukiomba misamaha kisa hofu ya kuachwa.
Mwanamke mpk anakufumania uyo anakupenda sana na hayuko tayar kukuacha. Lengo la kukufumania Ni kumkomesha uyo mchepuko wako atie adabu na sio Wewe.
Sasa unapojishusha unampa mfumaniaji confidence ya kukufanyia atakavyo eneo la famanizi ikiwemo kukudhalilisha na kuhatarisha usalama wako pamoja na usalama wa uyo Mchepuko wako.
Unachotakiwa KUFANYA Ni kujiamini, kuuvaa mfumo dume na kutumia UBABE kias ulioambatana na mkwara wa akili zaidi kutoroka eneo la fumanizi salama salmini mbele ya mfumaniaji kuepusha kudhalilika, madhara kwako na Mchepuko wako.
NB: Ukiona analeta usumbufu sana hata vibao kias vinaweza kumhusu shavuni ili mradi utoke eneo la tukio salama salmin na usidhalilike Zaid.
Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi.
BINAFSI,
MWANAMKE YEYOTE ASIJE THUBUTU KUNIFUMANIA, WALIONIFUMANIA WOTE WAMEPATA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOTARAJIA ENEO LA FUMANIZI
Nawasilisha[emoji1431]
🤣🤣🤣🤣Mwanaume hafumaniwa
Mwanaume hafumaniwi anayefumaniwa ni mwanamke. Tuache urojorojo. Huyo alikuwa mke mdogo, na unatakiwa umweleze live.
Nimekuja speeed 160 nikajua nitapata madini nifanyeje ikiwa nimefumaniwa na mwenye mke.Wakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuz jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao,barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta uko uko aliko.
Kila Mara kwny vikao vyetu tunasema, Leo narudia,Tena kwa msisitizo zaid:-
Mwanaume ukishakua mchepukaji lazima uwe na plan B unatoka vipi siku Ukifumaniwa unachepuka.
Sio unaanza kuweweseka, kubabaika na kuanza kujieleza Sana ukiomba misamaha kisa hofu ya kuachwa.
Mwanamke mpk anakufumania uyo anakupenda sana na hayuko tayar kukuacha. Lengo la kukufumania Ni kumkomesha uyo mchepuko wako atie adabu na sio Wewe.
Sasa unapojishusha unampa mfumaniaji confidence ya kukufanyia atakavyo eneo la famanizi ikiwemo kukudhalilisha na kuhatarisha usalama wako pamoja na usalama wa uyo Mchepuko wako.
Unachotakiwa KUFANYA Ni kujiamini, kuuvaa mfumo dume na kutumia UBABE kias ulioambatana na mkwara wa akili zaidi kutoroka eneo la fumanizi salama salmini mbele ya mfumaniaji kuepusha kudhalilika, madhara kwako na Mchepuko wako.
NB: Ukiona analeta usumbufu sana hata vibao kias vinaweza kumhusu shavuni ili mradi utoke eneo la tukio salama salmin na usidhalilike Zaid.
Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi.
BINAFSI,
MWANAMKE YEYOTE ASIJE THUBUTU KUNIFUMANIA, WALIONIFUMANIA WOTE WAMEPATA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOTARAJIA ENEO LA FUMANIZI
Nawasilisha[emoji1431]
umemaliza, kwanza unakiwa umhoji ametokaje nyumbani bila taarifa yako na amemwacha nani nyumbani. Ilitakiwa asirudi kwako mpaka ajieleze vizuri. Tena waziri? Huyo mwanamke atakuwa ameshamtupia uhoro huyo waziri, wanawake washerati sana. sasa angalia umemwua mdada au mama wa watu anategemewa pengine ana watoto na lazima wategemezi anao.Mwanaume hua hafumaniwi! Hua ANAKUTWA!
Mwanamke ndio anafumaniwa
Utasema mimi mwenyewe nilipata taarifa kutoka kwa majirani kwamba upo hapa hotelini umekuja na mwanaume,ndo nimekuja kukufumania,huyu unaemuona hapa ni polisi amekuja kuimalisha ulinzi.Utasemaje sasa, 'alikua ananibaka...' [emoji23]
Hatuingilii bali tunashauri tu maana inategemea na uwezo wa mtu kuelewa.Nani kakudanganya,
Vibao anakula vizur Sana,
Baadae chumban yanazungumzika,
Kamwe usiingilie ugomvi wa wapendanao[emoji4]
nyie ni mapro aisee 😂Utasema mimi mwenyewe nilipata taarifa kutoka kwa majirani kwamba upo hapa hotelini umekuja na mwanaume,ndo nimekuja kukufumania,huyu unaemuona hapa ni polisi amekuja kuimalisha ulinzi.
Na akiwa amekuja na mwanaume kwaajili ya kukukamata basi kesi inageuka unakamata wote unaweka chini,fumanizi tayari,kesi imegeuka.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo automatically kesi imepungua nguvu.nyie ni mapro aisee [emoji23]
Ujengewe SANAMU PALE ROUND ABOUT YA Mlimani CityYaani kuna waume halafu kuna waume-wanaume, my bro DeepPond wewe kiboko😁
Kwa nguvu zote nitaendelea kusema zinaa haikubaliki
Na siku zote nitaendelea kusema mwanaume anatakiwa kuwa na misimamo, anatakiwa kuwa mkali kwenye mambo ya msingi haswa yanahusu utu wake na familia yake ikiwa ni pamoja na kutoruhusu mtu yoyote ndani ya nyumba yake kufanya jambo litakaloaibisha familia yake.
Sitasema kwamba ni sawa kwa mwanaume kuchepuka, ila pia nitasema fumanizi la aibu sio busara wala haitokaa iwe zuio kwa mwanaume kuchepuka.
Mimi kama mwanamke naamini siku nikiamua kufanya fumanizi la aibu kwa mume wangu ni kwamba mapenzi yameisha siwezi tena hata kuishi nae.
Zipo mbinu nyingi za kudeal na hizi changamoto lakini hili la kumvua nguo mume na kumuaibisha mbele za watu halafu ukaendelea kuishi nae yeye atadharulika lakini wewe mwanamke utaonekana janamke jinga kuliko.
Kwa mwanaume mwenye akili za aina yake ukishamfumania hivyo mapenzi yameisha....