Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

Mimi katika mahusiano nikimwamini mwanamke tu yani hiyo ndio nguzo iliyobeba kila kitu

Kitendo cha kujua ana bwana mwingine uaminifu umevunjia kwa maana ya kwamba nguzo imeanguka kwaio ndio mwisho wa road hapo

Na moja ya vitu ambavyo siwezagi ni unafiki yani kukuigizia sijui kitu wakati najua
 
Hiyo haiwezekani kwa mwanaume yyt duniani, ikitokea akaonesha kukuvumilia tambua kwamba anakuandalia bomu moja la kukumaliza siku za usoni
 
Nmekuelewa mkuu
 
Msingi mzuri
 
Tatizo linaanza pale mwanaume akujidanganya kuwa mbususu ni yako weye peke. Hapo kijana ni kuachana na huyo mrembo na kuendelea kutafuta mbususu mpya tuu
Pande zote ndo tunaamini hivyo.. hakuna mwanaume au mwanamke wa peke ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…