Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

Mimi katika mahusiano nikimwamini mwanamke tu yani hiyo ndio nguzo iliyobeba kila kitu

Kitendo cha kujua ana bwana mwingine uaminifu umevunjia kwa maana ya kwamba nguzo imeanguka kwaio ndio mwisho wa road hapo

Na moja ya vitu ambavyo siwezagi ni unafiki yani kukuigizia sijui kitu wakati najua
 
Inategemea na malengo tu. Kama ni kulana tu na maisha yanaendelea sioni shida. Maana sioni tofauti sana ya hicho unachokisema na kuwa na mahusiano na make wa mtu.

Ila kama kuna malengo makubwa zaidi kama kuoana, hayo ni matusi makubwa tu kwa mwanaume.
Nmekuelewa mkuu
 
Mimi katika mahusiano nikimwamini mwanamke tu yani hiyo ndio nguzo iliyobeba kila kitu

Kitendo cha kujua ana bwana mwingine uaminifu umevunjia kwa maana ya kwamba nguzo imeanguka kwaio ndio mwisho wa road hapo

Na moja ya vitu ambavyo siwezagi ni unafiki yani kukuigizia sijui kitu wakati najua
Msingi mzuri
 
Tatizo linaanza pale mwanaume akujidanganya kuwa mbususu ni yako weye peke. Hapo kijana ni kuachana na huyo mrembo na kuendelea kutafuta mbususu mpya tuu
Pande zote ndo tunaamini hivyo.. hakuna mwanaume au mwanamke wa peke ako
 
Back
Top Bottom