Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Mimi sio mwanamke hilo jina la kwenye ID lisikichanganye ni la binti yangu🙄 Unataka kusema nini..????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mwanamke hilo jina la kwenye ID lisikichanganye ni la binti yangu🙄 Unataka kusema nini..????
RUN, don't walk.Hii Topic Relevant kwangu kabisa hii Inshu imenisibu na sijui nifanye nini dadek tulia nipate mawazo hapa
😥 Mnachotufanyia sicho walahi Sasa mi ningejidunga! Wekeni majina yenye uhalisia hata wa jinsia sasa ndo mambo gani haya.Mm sio mwanamke hilo jina la kwenye ID lisikichanganye ni la binti yangu
Ningelikuwa mimi ningeli disappear..RUN, don't walk.
Mbona comments zangu zina uharisia wa jinsia yangu.😥 Mnachotufanyia sicho walahi Sasa mi ningejidunga! Wekeni majina yenye uhalisia hata wa jinsia sasa ndo mambo gani haya.
Mbona comments zangu zina uharisia wa jinsia yangu.
Good!Ningelikuwa mimi ningeli disappear..
Nmekuelewa mkuuInategemea na malengo tu. Kama ni kulana tu na maisha yanaendelea sioni shida. Maana sioni tofauti sana ya hicho unachokisema na kuwa na mahusiano na make wa mtu.
Ila kama kuna malengo makubwa zaidi kama kuoana, hayo ni matusi makubwa tu kwa mwanaume.
Msingi mzuriMimi katika mahusiano nikimwamini mwanamke tu yani hiyo ndio nguzo iliyobeba kila kitu
Kitendo cha kujua ana bwana mwingine uaminifu umevunjia kwa maana ya kwamba nguzo imeanguka kwaio ndio mwisho wa road hapo
Na moja ya vitu ambavyo siwezagi ni unafiki yani kukuigizia sijui kitu wakati najua
Hata kutoa vitu vidogo ndo huko kuhudumia mkuuahudumiwe kwani ni kilema kwamba hwezi kufanya kazi?? tunatoa za vitu vidogo tu huyo hafai piga chini kabda jogoo hajawika.
Pole sana.. kunywa maji mengi, fanya mazoezi, tafuta hela na usiache kufanya ibada kwa imani yako😂Mkuu mbona kama umeniongelea situation yangu ya sasa,
Pande zote ndo tunaamini hivyo.. hakuna mwanaume au mwanamke wa peke akoTatizo linaanza pale mwanaume akujidanganya kuwa mbususu ni yako weye peke. Hapo kijana ni kuachana na huyo mrembo na kuendelea kutafuta mbususu mpya tuu
Ujuaji huo umeanza lini😂Hujazeekea kwenu mama.. we ni mjuaji wa kenzi..😀
Hata wanawake wanasema hivyo piaHahah sawa mkuu, maana hawa viumbe sio wa kutusumbua kabisa mkuu
Pole sana... ushauri unaotolewa hapa zaidi ni wa kutafuta mwingine 😂Hii Topic Relevant kwangu kabisa hii Inshu imenisibu na sijui nifanye nini dadek tulia nipate mawazo hapa
Kwa hiyo hata kama ni chapa ilale huumii kuwa umechapiwa mkuu?Hakuna mwanaume anayeweza kusamehe na kuvumilia huo upuuzi. Labda kama sina malengo naye , nina nia ya kupiga tu na kupita hivi