Mwanaume ukimtumia mwanamke wako hela akahoji kua ni kidogo pasi na kushukuru rudisha huo muhamala mtumie mama yako

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu zangu salaam sana

Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake

Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli cha kuhudumiwa, kutunzwa , kupendwa na hata kuongozwa na kutawaliwa vyema , dhana hii imepelekea pia wanawake kukosa shukrani na kujiona wao wana haki ya kupewa kwa ukubwa kitu atakachohitaji kutoka kwa mwanaume pasi nakutokujua hicho kikubwa / kidogo mwanaume anachompatia ni kwamba kakipata kwa tabu sana kajinyima yeye, na hata wengine wanafika mbali kunyima wazazi wao na ndugu zao ili tuu ampe mwanamke wake..

Ndugu zangu wanawake kujiona na haki ya kuhudumiwa kumewafanya sana kukosa utu na shukrani na kuwa katili sana kwa wanaume kuwapelekesha wanaume , kuwatishia kuwaacha, kuwatesea tamuu na hata kuwadhalilisha kabisa . Wanaume wenzangu ili kuwashikisha adabu na kuwafunza utu wanawake wasampuli hii pamoja na kuwajengea akili mtambuka ni lazima wanaume tuwe na misimamo mikali sana isiyo na madhara au yenye madhara kidogo

Sasa;-

1: Ewe mwanaume mwanamke wako akikuomba hela na ukatuma akashutumu au akakaa kimnya kwa dharau bila kushukuru kwa muda wa nusu saa hakika rudisha huo muamala utume kwa wazazi wako kwa kidogo hicho hicho ulicho mtumia na uone jinsi utakavyo barikiwa, achana na huyo chuma ulete kushindana nae hana utu , maana angekua na utu angeshukuru kwa kidogo unachompatia na siyo kulaumu..

2: Kama umetuma hela kwa mwanamke akajibu kuwa ni kidogo anataka kingi na kuanza kuonyesha dharau, ndugu zangu wanaume rudisheni huo muhamala alafu kaa kimnya tena ikibidi watumie hiyo hela wazazi wako. Ukifanya hivyo mwanamke atajifunza kua na shukrani ila ukianza kujitetea atakuona hujielewi na hujiamini mwishowe ataanza kukupelekesha na kudharau hata hicho kidogo unacho mpatia

3: a) Ikitokea mpo karibu na mwanamke wako ukampa cash money, akalaumu na kutaka kikubwa zaidi huku analeta dharau na kukosa shukrani ,mwambie akupe hizo ela uziongezee na ikitokea kakurudhishia kwa mkono wake mwenyewe hakika usiziongeze bali zichukue weka kwenye wallet piga kimnya na hata akiropoka kaa tulia usipanic hata kidogo jiamini sana siku nyingine hakika hatofanya huo ujinga tena, atakuheshimu na kujifunza kukushukuru na kutikia maanani kile unachompatia.

b) Ila kama ni mkeo una mwachia hela ya matumizi ambayo unajua inamtosha ila yeye badala ya kushukuru, anasusa huku ana kuhukumu kuwa haitoshi na anataka uongeze zaidi tena anakupangia kabisa kiasi cha kumpa pasi na huruma mwitikie "sawa" ila usiongeze anza kutokutabirika punguza kiwango cha hela , acha hela random random ..leo unaongeza , kesho unapunguza mara unaongeza mara unapunguza zaidi.. hakika ukifanya hivi hatoleta tena ujuaji atakaa kwa adabu na utii na atakua mwenye kushukuru na kuthamini juhudi zako kwake na katika familia

Hawa wanawake wanazidisha dharau kwa sababu baadhi ya wanaume wenzetu wanakosa kujiamini pindi wanapo ombwa hela na wanawake zao , wanaogopa kuwapoteza hao wanawake wakidhani hawatopata mwingine kumbe ni uoga tuu , Mwenyezi Mungu katuumbia wanawake wengi hivyo hakuna kua muoga hata kidogo jiamini , jikubali na usipelekeshwe na mwanamke , maisha ni magumu sana na wanaume tunapata hela kwa tabu sana ikitokea umempa mwanamke hela analeta dharau rudisha huo muhamala utume kwa mama yako au weka bank utakusaidia baadae.

Ni heri kumpa hela mama yako au mwanaume mwezako anapopata matatizo kuliko kumpa hela mwanamke asiye na shukrani huku unajieleza na kumbembeleza apokee.

Nb: UKIONA MWANAMKE ULIYENAYE HATAKI KUKAA KWENYE HESABU ZAKO ACHANA NAE HUYO SIO WA KWAKO UKI MWENDEKEZA UTAKUFA MASIKINI

# Muamala=/=muhamala
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    29.2 KB · Views: 14

Cha ajabu hicho wanachoringia sasa...........
 
Kwa hiyo unasubiri hela izirwe na malaya wako ndo ukumbuke kumtumia?
 
Tatizo kipururu Mjomba, Kuna muda unatamani ukate kichwa Cha chini ili kichwa Cha juu kifikiri Kwa usahihi ila ndio hivo tena.
 
Herufi (C) ishawahi kunitokea. Aliniomba kiasi Fulani Cha pesa nikampa, nilivyotoa kumhesabia akaona kumbe ninazo nyingi kidogo! Akataka ajiongezee yeye nikamkatalia. Akasusa akarudisha zote nikazipokea nikamwacha! Toka siku hiyo hajarudia tena kunipangia nimpe kiasi Gani.
 
Back
Top Bottom