Habarini,
Mda mwingine kwenye utongozaji, mwanaume unajitoa ufahamu unaamua kusaliti chama cha uwabata kwa muda. Unaamua kufata dating advice ya wadada wa humu jf, ya ukiwa na mwanamke unaemtaka mpe hela kabla hata hajakuomba š
Unamuona mdada, unasema ngoja huyu nimuoneshe upendo kwa kumpa hela bila yeye kuomba, unapofanya hivyo kama mwanaume unatarajia,
1) Aina flani ya positive outcome kutoka kwake, aongeze ukaribu wake kwako, kwa kukupa attention zaidi.
2)Unategemea kuwa kwa namna flani mahusiano na huyo mdada yataimarika zaidi.
3)Unategemea huyo mdada akuone mwanaume responsible, serious, ambae unamjali..
Hee kwa ground mambo yanakua tofauti, sijui mdada anakua anahisi ume-fall in love sana, na uko blind, so anatumia huo mwanya ku-ask vitu viiiingi ambavyo asingeviomba kabla ya wewe mwanaume kumpa hela, kumbe mwanaume unafanya hivyo lakini uko very aware na unachofanya, anakupiga vizinga ambavyo vingi kiukweli havina mashiko, like hey give me this, hey give me that, unaona mmh hapa sina mtu , unaanza kuji-excuse taratibu.
Mahusiano mengi siku hizi, kazi kweli