Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona wapi mwanaume akutokee halafu mshale wa saa hauoneshi majira?Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
Pale Full Gospel Bible Fellowship wapo wengi natural hawana brazillian hair.Mwanamke mwenye nywele za kuvaa na kuvua, . Asinisogelee kabisa sitaki usanii na uongo
Me nimekuelewa unachopitia. Ni tatizo ambalo linatokana na associated fear au phobia. Yaani umehusisha swala la mwanaume kutokuwa makini na saa yake ya mkononi kwanza ile kuvaa saa mbovu imekufanya uwazie pengine jamaa hayupo sawa kichwani anvaa vipi saa mbovu ambayo haisomi majira si ni sawa na mtoto anayeokota kopo na kuigiza ni bunduki au simu it means hajakua.Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
Hebu ngoja saa ni mbovu au tu hajui kurekebisha majira?Saa isome tu majira
Yaani wanawake hamueleweki mnataka nini!Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
Akishonea au kugandisha na gundi maalumu vipi?Mwanamke mwenye nywele za kuvaa na kuvua, . Asinisogelee kabisa sitaki usanii na uongo
Na sisi tusiovaa saa tuna nafasi gani kwako?Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
Umemtolea analysis nzuri kwa kadiri ya uwezo wako.Me nimekuelewa unachopitia. Ni tatizo ambalo linatokana na associated fear au phobia. Yaani umehusisha swala la mwanaume kutokuwa makini na saa yake ya mkononi kwanza ile kuvaa saa mbovu imekufanya uwazie pengine jamaa hayupo sawa kichwani anvaa vipi saa mbovu ambayo haisomi majira si ni sawa na mtoto anayeokota kopo na kuigiza ni bunduki au simu it means hajakua.
Pili inakuletea hisia kuwa jamaa hayupo serious na muda kama anaweza vaa saa isiyosoma majira sawa sawa sasa anatazamaje muda na anawezaje kuuzingatia. Na kama hayupo makini na muda it means hayupo serious na matumizi ya muda anapenda kuchezea muda. Na kama anachezea muda wake basi hata muda wako hatauthamini hata kidogo.
Tatu, inakupa picha ya mwanaume ambaye ni scraps collector. Watu wa namna hii wapo na hii tabia huwa isipokemewa utotoni mtu hukua nayo na mkewe ndie huja kuteseka. Akiona mtu anataka kutupa redio, tv au friji mbovu basi yeye ataomba achukue akatengeneze ili atumie ila si kwamba huyu mtu hawezi mudu kununua tv, radio au friji yake ila basi tu ni kwasababu alishatengeneza tabia ya kuokoteza makolokolo na kukaa nayo. Akiskia mtu simu imevunjika kioo anataka kuidispose yeye ataomba aitumie hivyo hivyo yaani kwakifupi ni watu wanapenda kuwa collector wa makopo.
Nne, inakupa picha ya mwanaume ambaye hajijali so hatawez akukujali. Kama yeye anavaa saa mbovu isiyokwenda sawa na majira je wewe ataweza kukunulia saa nzuri ya thamani ambayo ukivaa wanawake wenzako watakuonea gere.
Kwahiyo kwa analysis ndogo tu nimekufungulia fikra na kukujibu hilo eneo la "sijui kwann". Kimsingi kaa nae chini na umuhoji na kumuelekeza na kumtazama kama anarekebika. Kama hamjaazan kuishi pamoja nadhani ni muda mzuri sasa wakutazama options zako vizuri ili uweze kujua unadeal na mtu wa standards zako au below your standards.
Na hii ndio changamoto za malezi kuna tabia ambazo wazazi huchukulia poa kwa watoto wao ila hizi tabia huzaa changamoto za kimahusiano kwa hawa watoto wao wanapokutana na watoto wawatu wengine. Wazazi tuwe makini na malezi.
Wengine hatuvai kabisa,hapo vipi🤔Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
ni sawa....sawa nini Sasa?
Me nimekuelewa unachopitia. Ni tatizo ambalo linatokana na associated fear au phobia. Yaani umehusisha swala la mwanaume kutokuwa makini na saa yake ya mkononi kwanza ile kuvaa saa mbovu imekufanya uwazie pengine jamaa hayupo sawa kichwani anvaa vipi saa mbovu ambayo haisomi majira si ni sawa na mtoto anayeokota kopo na kuigiza ni bunduki au simu it means hajakua.