ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Huenda umetutega 'saa haisomi majira'Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
labda kama ni jogoo haliwiki. Maana kujua mtu amevaa saa ya bandia ni kazi sana