Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Huenda umetutega 'saa haisomi majira'
labda kama ni jogoo haliwiki. Maana kujua mtu amevaa saa ya bandia ni kazi sana
 
Sa utaonaje?mfano niko mbali utanifata uje uangalie tu kama inasoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…